Nikionaga mwanamke anaijua vizuri manyo namuheshimu sana; anyway so we Mnyamwezi bado upo mkoani Tanga!? Sorry kwa kuchangia UZI wa zamani
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Baada ya check engine ku graduate..[emoji38][emoji38][emoji38]View attachment 2260966
Inaweza ikawa Change Engine Oil etc[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Hayo maneno yanatembea, sasa jamaa amevizia hicho kipande akapiga picha!
Lazima kuna muendelezo wa hayo maneno..
Zile basi za masafa marefu nazo huwa zinatembea na 80KPh?80KPH ni kwa magari ya mizigo na mabasi, ila kwa gari ndogo unajiachia tu sehem ambazo hamna 50KPH.
Hmmh, hapo hajapona mtu.Wakuu,mdogo mdogo wakuu, barabara zinaua zaidi ya UKIMWI.
RIP msoja,kuna picha hazifai kuwekwa hapa ni zinatisha mno.
View attachment 2241242View attachment 2241243
Sent from my TECNO B1p using JamiiForums mobile app
Kuendesha usiku kunahitaji uzoefu mkubwa na kuijua barabara husika kuliko watu wanavyofikiria, kutembea speed ya 120-150 kph usiku ni tofauti sana na mchanaDah kwa hiyo ajali ya coaster mafinga safari za hakuna kulala kwa coaster ndio basi tena kama Siro alivyoamrisha!
Sheria huwa ni hivo na hata VTS zinafungwa kwa sababu hyo ila wahuni wanaenda zaid ya hapo.Zile basi za masafa marefu nazo huwa zinatembea na 80KPh?
Ulikuwa na kigari gani.?Jana nimepiga Dar - moshi, moshi - dar. Niliondoka dar saa kumi na moja alfajiri saa saba nikafika noshi bila cheti chochote. Saa kumi na mbili nikaondoka moshi kurudi dar nikala cheti over speed 63. Kuna watu huwa wana zichukulia poa sana hiv vi baby woka vyetu. Jana nimewatoa povu jamaa wa wanne walileta dharau ford ranger nyeusi, tako la nyani jeupe na stk mbili hilux nimewapoteza toka mombo, ford na tako la nyani wamekuja kunipita msata mizani nilisimama muda mrefu hapo kuangalia koloni. Nimeingia dar saa nane na dakika 13. 1000km. SPIDI INAUA… wa ford na matako ya nyani kama mpo nawasalimu.
Ulikuwa na kigari gani.?
Ukute ulipiga ligi na mtu ambaye hajui kama mnashindana mkuu.
Sent from my TECNO B1p using JamiiForums mobile app
Ila Vitz inategemeana na uendeshaji wa mtu, nakumbuka nimewahi kupakiwa na mzee wangu kiukoo (almost 50 years) kutokea Geita kuja mwanza, daah tulitoka kule jioni saa 12 saa 7:30 tukawa ferry busisi.Walikua wanajua kwa sababu ya mambo waliyokua wananifanyia. Walikua wakinikuta nimesimamishwa mahali na polisi wanapiga hon nyingi. Wao walinikuta natembea na 120kmp wakawa wananiwashia taa nitembee, nikapunguza wakatpita wote gari nne sasa na mm ndo nikaanza kufwata mpaka nilipo wakata hapo mombo. Vitz rs 1.5 manual.
Io gar uhakika sana napigaga Dar Moshi.Walikua wanajua kwa sababu ya mambo waliyokua wananifanyia. Walikua wakinikuta nimesimamishwa mahali na polisi wanapiga hon nyingi. Wao walinikuta natembea na 120kmp wakawa wananiwashia taa nitembee, nikapunguza wakatpita wote gari nne sasa na mm ndo nikaanza kufwata mpaka nilipo wakata hapo mombo. Vitz rs 1.5 manual.
Ni kweli tatizo siro anadhani mabasi makubwa yako salama kumbe tatizo ni uendeshaji,anapotaka mabasi makubwa yaanze safari za usiku badala ya coaster haliwezi kuwa suluhisho.Wazipe vibali hizo coaster na kuzifatilia.Kuendesha usiku kunahitaji uzoefu mkubwa na kuijua barabara husika kuliko watu wanavyofikiria, kutembea speed ya 120-150 kph usiku ni tofauti sana na mchana
Walikua wanajua kwa sababu ya mambo waliyokua wananifanyia. Walikua wakinikuta nimesimamishwa mahali na polisi wanapiga hon nyingi. Wao walinikuta natembea na 120kmp wakawa wananiwashia taa nitembee, nikapunguza wakatpita wote gari nne sasa na mm ndo nikaanza kufwata mpaka nilipo wakata hapo mombo. Vitz rs 1.5 manual.
LC300 ni bad news, hilo halipingiki sababu ina horsepower za kutosha😂😂😂 na speed iko juu. Yani akikaza mguu hutoboi!LC200 zinachakazwa na gari nyingi sana.. nilikuwaga naziona VXR hatari ila ... kuna siku nimeichapa kama mtoto na Muingereza .. LC300 zinahitaji kifua juzi nilifatana nayo moja ya ubalozi ile gari ni matusi
Kuna moja ya mkurugenzi wa Railway ina plate ya RAC ndio naiona iko road ila bado hazijakuwa nyingi. Nahisi ndio mwamba alipambana nayo maana ile ni Dom-Dar kwa sanaHivi lc300 zishazagaa mitaani na kwenye highway?