Hahahaaaaaa nimecheka sanaKifuatacho soon tutaingia namba E....Basi hawa wa Namba E watakuwa wanaona Dunia nzima ni yao....utakutana na Porte namba E jamaa kavaa miwani nyeusi, kakata kishoka, ndevu kaziachia kama brush....yaani atatuona tuliobaki wote ni washamba tu..[emoji848][emoji848]...akisimamishwa na askari, ataongea kwa kiburi cha namba E, basi askari hapo anachora vyeti tu.
Hawa wenye D wataanza kujiona kama sisi wenye C tunavyojiona leo hii..
Wenye C tutajiona kama wanavyojiona wenye B leo hii..
Wenye B watajiona kama wanavyojiona wenye namba A leo hii...
Wenye namba A watajiona wamerudishwa enzi za namba TZ 009844[emoji21]
Wale ambao waliwahi kuwa na namba TZ.......watajihisi wanaishi on the other side of the hell....[emoji26][emoji26]
Ndiyo Tanzania hii imetawaliwa na Plate namba na Low mileage..
Ilikuja na 15K.Sasa hiyo kwa wastani unapiga 126K in 7 years. Sasa yule aliekuambia garibyaki anayo for 7 years na ndio kwanza iko 80K ananishangaza. Nina Hakika hakununua 0KM
Kuna gari zinatoka bandarini zimechoka kuliko namba B sijui shida nini[emoji23][emoji23][emoji23]
Kuna verosa nineiona jana hapo Kibo ni IT kidogo nilie. Kwani huwa magari mabovu yanauzwagwa jaman? Au lilikaa juani sana hapo bandarini? Lkn pia hapana. Ilikua zaidi ya kupauka. Hapo mbele limeishaa[emoji119][emoji119] imagine ndo namba E
Kuna wakati nasafiri kikazi almost miezi mitatu. Gari inakaa ndani tu.Una uhakika gani hakuchukua brand new? Ila kuna watu hawana misele au wanatumia sana gari za ofisi/kampuni.
Huu mwaka natazamia kuingia kwenye mabus RasmiMungu ni mwema nimevuka salama na hatimaye Kuuona mwaka 2021..
Ninaimani wazee wote wa road trip mmevuka salama..
Mungu awatangulie katika kutimiza malengo ambayo hayakutimia kwa mwaka uliopita wa 2020..
1.Wakuoa aoe.
2.wa kuolewa aolewe
3.Wakuachika asiachike tena
4.Wa kutafuta kazi/biashara/masomo afanikiwe
5.Ndoto ya Ujenzi/kiwanja/gari ikatimie.
Mapambano yanaendelea.
View attachment 1664315
Kanyaga breki ...mbona taa ya breki haiwaki!Anakwambia washa taa wakati ni mchana!
Camera unaweza pigwa kwa nyuma.Uncle wangu huwa ni mtu wa maspeed sana. Hiwa safari zake za dar to moshi masaa matano mpk nyumbani kbs. Lakini huwa tunashangaa sana inakuaje anatoboa bila vyeti. Akatufundishaga mbinu yake. Huwa anapanga CD pape mbele kwenye dashboard anatandaza. Anasema trafiki akipiga camera anaambulia sifuri. Kuna anayeijua hii mbinu? Kuna ambaye amewahi jaribu?
Ajitokeze mtu aijaribu basi [emoji28]
Hivi kuna matrafiki kwani huku? Tusiharibiane mbinu zingine jamani
Kumbe sikuona peke yangu.Siku hizi tatu za karibuni imekuwa ajabu sanaaa.. au wamefikia lengo la ukusanyaji
Kwa afya ya gari ni bora gari yenye high km za kutembelewa highway kuliko gari yenye low km za kutembelewa town trip.Nafanyia kazi zangu nyumbani. Nina kaofisi kadogo.
Natoka weekends tu au kati ya week kukiwa na ulazima sana.
Kwahiyo week nzima naweza tembea kama 50km. Na gari zipo mbili, moja ya safari nyingine town trip.
Na hiyo ya safari inaweza tembea km 1000-1500km kwa miezi minne hivi.
Sent from my SM-A720F using JamiiForums mobile app
Shida kujua kama hizo high mileage ni za highway au mjini. Company cars nyingi ndio huwa zina highway mileage(still bongo ngumu kujua)Kwa afya ya gari ni bora gari yenye high km za kutembelewa highway kuliko gari yenye low km za kutembelewa town trip.
Poliso wa Arusha wamezidi unoko.....kwa experience, kwa mfano kama unatoka Arusha kwenda Moshi....ukifika Kuanzia KIA askari wa huko mbele wapo humble kidogo.....Hawa wa Arusha unaweza ukasema wametumwa kufanya operesheni maalumu....
Kweli mkuu,lkn wabongo wengi wanapendelea gari zenye low mileage regardless ya imetembelewa wapi.Shida kujua kama hizo high mileage ni za highway au mjini. Company cars nyingi ndio huwa zina highway mileage(still bongo ngumu kujua)
Hahaha...ndiyo hivyo mkuu jamaa wakibana mlango inabidi kutokea dirishani.Hahahahah kwahiyo mkuu nimeuza raman.
Au jamaa yako alipanga vibaya? Basi nutakua sileti tena humu.
Matrafiki wa humu tunawamaindoo sana. Nyie mna roho nzurimoo[emoji28][emoji28][emoji28]
Nafuu umestuka mapema...wakina Mwaijonga na Mwakisopile wangeanza vurugu..[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] nimeshawaomba msamaha mapema kabisaa mkuu.
Nahisi ni zile zinazotelekezwa baada ya waagizaji kushindwa kuzikomboa...Kuna gari zinatoka bandarini zimechoka kuliko namba B sijui shida nini
Balimi hapana. Ile pombe imekaa kisukuma sana.Ewaaaa mi Safari na Balimi ndiyo bia zangu pendwa yaani hapo hauniambii kitu! Japo kuna Watu huwa wananishangaa wananiambiaga natumia vitu vizito eti hizo siyo bia ni gongo!
Mi nitakunywa bia zote ila siyo hizo Lite aiseee. Yaani haujanifuma bado kwa kweli.
WowHuu mwaka natazamia kuingia kwenye mabus Rasmi
Kuna jamaa yangu mmoja huwa anasema yeye anafanya service kabla ya recommended km kwasababu hata kwenye foleni engine inazunguka ila km hazihesabu.Kweli mkuu,lkn wabongo wengi wanapendelea gari zenye low mileage regardless ya imetembelewa wapi.