Japokua sina gari uzi nimeupenda sana na nimesoma comments zoteeee, namimi 2021 lazima ninunue ndio naendelea kuzichanga. now nipo kwa bus natokea Singida kwenda Dar es Salaam
Kama kawa yaani majuzi jamaa alinisimamisha sasa nilikuwa naongea na simu, ila kioo nikashusha, basi alichungulia tu mle ndani akarudi kuendelea na shughuli zake... Mi nikang'oa😅😅😅😅