Nyani Mzee Snr
JF-Expert Member
- Feb 4, 2021
- 12,122
- 42,771
Usafiri halafu ukalale cheap lodge unakuwa umejinyima sanaa.. huwa nikisema natwanga trip kwa burudani au kama nina stress.. pa kulala ni nyota nne au tano.. hata kama sina hela nilale pazuri sanaa na mazingira mazuri machoni na mwili.Unaweza kusave hata 10 yrs kusafiri.
Unaweza safiri kwa bajeti mbalimbali kupunguza gharama.
Back packers toka ulaya wakija africa kwanza wanafikia kwenye hostels, wanapanda economy, wanatafuta cheap destinations na attractions.
Mwisho wa safari unaweza kuta gharama zote zinaishia $1,000 - $2,000.
Kama unasafiri ndani ya Tz, unaweza tumia public transport, cheap lodges, cheap attractions. Mpaka unarudi umeshatumia not more than 300K.
Hapo ni sifa na mpira.Teh teh mwanzo ulisema alisafiri kutafuta sifa tu na sasa hivi unasema tena alisafiri kwa ajili ya mechi tu
Haya hebu na wewe safiri kwa huo umbali na huo muda kwa ajili ya kuangalia mechi tu kama ni rahisi
Inahitaji mtu awe na hobby ya kusafiri ndiyo afanye hayo ila kama kusafiri siyo hobby yako lazima tu uanze kuleta kiswahili kirefu oohh sijui pesa sijui sifa
Jamaa yupo powa sana, ameisha nisaidia mala mbili. mtu powa pia humble sanaHuyo mwamba ofisi yake na kitaani dakika 5 tu 😂,jamaa wanaomzunguka pale wengi wao ni wana sema maisha ya ki jf tu ila inawezekana namjua na ananijua 😂
Hiyo laki tano naenda dizonga auTayari wewe ni tajiri,hako kalaki tano hadi umejichanga wewe siyo masikini.
Sent using Jamii Forums mobile app
Oh ni kweli unaweza save hata miaka kumi.Unaweza kusave hata 10 yrs kusafiri.
Unaweza safiri kwa bajeti mbalimbali kupunguza gharama.
Back packers toka ulaya wakija africa kwanza wanafikia kwenye hostels, wanapanda economy, wanatafuta cheap destinations na attractions.
Mwisho wa safari unaweza kuta gharama zote zinaishia $1,000 - $2,000.
Kama unasafiri ndani ya Tz, unaweza tumia public transport, cheap lodges, cheap attractions. Mpaka unarudi umeshatumia not more than 300K.
Tatizo umekaza sana ubongo.Yaani atembee for fun na huku Nyumbani hata kula ni ya shida!?!
Njiani anakula nini?
Kwamba mtu anatoka tz hadi Malawi kwa mguu?
Labda ile Malawi ya kwetu ambayo mtu akivuka mto tayari yupo Malawi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuiona laki kubwa ni dalili ya umasikini sawa..Hiyo laki tano naenda dizonga au
Nimesema laki na hata kuiona laki ni kubwa basi nayo ni dalili mojawapo ya umasikini
Maana kwa uchumi wetu wa sasa hivi laki siyo pesa hata kama kuna watu wanashindwa kuipata maana hata hiyo dola moja kuna watu wanashindwa kuipata lakini bado hauwezi ukasema ni kubwa eti kwa kuwa kuna watu wanashindwa kuipata
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Tatizo umekaza sana ubongo.
Kwani mtu anayetembea kwa miguu anatembea angani au baharini si ni hapo hapo road yanakopita magari au
Umewahi kushika pesa aua hujawahi ?
Kuna watu wanapenda kuvaa na kuna watu wanavaa ili mradi tu kujisitiriUnaweza ukavaa kujisitiri na ukapendeza.
Na ukishaweza kununua nguo na hautembei uchi tayari wewe si masikini.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndiyo tunaongelea njia ya ardhi/barabara..Kwani mtu anayetembea kwa miguu anatembea angani au baharini si ni hapo hapo road yanakopita magari au
Sahizi mkuu? Nikale vyeti? Bado niko mjini sina habariAll the best...ushatoka?
Kuna kimeo ki1 siku nitakyorudi tu nitampelekea akakichek,maana kwa sasa siko maeneo kakaJamaa yupo powa sana, ameisha nisaidia mala mbili. mtu powa pia humble sana
poa mkuu wangu, haya magari tunayale kama wake usipo lipeti peti lazima likukalishe chiniKuna kimeo ki1 siku nitakyorudi tu nitampelekea akakichek,maana kwa sasa siko maeneo kaka
Sijaamua tu kwa sababu nauli ya kunitoa Dar hadi Mbeya na kurudi ninayo lakini mimi siyo tajiri na hata nikikosa hiyo nauli haiwezi kunizuia mimi kusafiriHapo ni sifa na mpira.
Wewe si unahobby ya kusafiri ,fanya kusaifiri Kama yeye tuone.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Umewahi kushika pesa aua hujawahi ?