Nyani Mzee Snr
JF-Expert Member
- Feb 4, 2021
- 12,122
- 42,771
๐๐๐๐๐ Upo vizuri pia sanaaa..Kweli Mwalimu nimejifunza kwa mfano [emoji120]
Nikafuta machozi, mbele ninaendelea.
Yale mahubiri uliyonihubiria naona umeyafanya kwa vitendo,,hiyo ndiyo Imani Sasa[emoji106]
Ila kiwango Cha Imani yako bado sijakikaribia japo robo[emoji4][emoji119]
Sent using Jamii Forums mobile app
Unakuta comment ipo kule juu kabisa lakini jamaa anakuja kutoa jibu lake huku chini[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3], analusha jiwe gizani tu
๐๐๐ mwingine kazoea hivyoUnakuta comment ipo kule juu kabisa lakini jamaa anakuja kutoa jibu lake huku chini[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kuna namna naenjoy hii style.
Sent using Jamii Forums mobile app
Vizuri ya wapi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Upo vizuri pia sanaaa..
Ndiyo ndiyo boss.[emoji3][emoji3][emoji3] mwingine kazoea hivyo
Naona ile ilikula kwake ๐๐๐๐Ndiyo ndiyo boss.
Japo niliona imeleta changamoto,alimtafuta Hornet kuhusu gari ila hakumtag Wala kuquote..
Hornet sidhani kama aliona.
Sent using Jamii Forums mobile app
๐๐๐๐ Tuishi kwa vitendo. Mungu huwa mwema kila siku na anapo ruhusu jambo litokee anabaki kuwa Mungu mkuu mwenye upendoVizuri ya wapi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ila kidogo nimepunguza maumivu baada ya kuona ulivyohandle.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Naona ile ilikula kwake [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Au kwake haipo sehemu ya ku quote huwezi jua ๐๐๐[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ndiyo
Na baadaye alimwambia Hornet kwamba alimtafuta.Alitumia tena style hiyohiyo ya bila kuquote wala kutag[emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli simu ndogo zina zinguaga sana#Saint Anne Now natumia simu ndogo haina uwezo wa 'kuquote'. Kila nikiquote ule ujumbe unagoma.
Hakika[emoji120][emoji846][emoji846][emoji846][emoji846] Tuishi kwa vitendo. Mungu huwa mwema kila siku na anapo ruhusu jambo litokee anabaki kuwa Mungu mkuu mwenye upendo
Kumbe ndiyo maana,#Saint Anne Now natumia simu ndogo haina uwezo wa 'kuquote'. Kila nikiquote ule ujumbe unagoma.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Au kwake haipo sehemu ya ku quote huwezi jua [emoji3][emoji3][emoji3]
Basi yangu inanihurumia tu eeh! [emoji848]Ni kweli simu ndogo zina zinguaga sana
Nawe utapata iPhone 14 pro max .. alhamisi jiandae trip ๐๐๐..kurudi jumatatuBasi yangu inanihurumia tu eeh! [emoji848]
Maana ni kidogoo[emoji38]
Sent using Jamii Forums mobile app
Eeeh!unaninunulia ambayo bado haijatoka[emoji38]Nawe utapata iPhone 14 pro max .. alhamisi jiandae trip [emoji846][emoji846][emoji846]..kurudi jumatatu
Hiyo mboni haitoguswa.. itakuwa salama tu.. hata kwa trip ya geita itapendeza ๐๐Eeeh!unaninunulia ambayo bado haijatoka[emoji38]
Fanya iwe Samsung Galaxy s21.
.
.
.
Trip iwe fupi fupi,si unajua bi mkubwa[emoji6]ananichunga kama mboni[emoji38]
Sent using Jamii Forums mobile app
Anajua kabisa haitaguswa, itakuwa salama ila woga wake yeye ni safari tu.Hiyo mboni haitoguswa.. itakuwa salama tu.. hata kwa trip ya geita itapendeza [emoji3][emoji3]
Nakuona mpendwa ๐Mrembo