Wazee wa โ€˜Road Tripโ€™ mpo?

Mwendo wa Chama huo ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…
 
Hahahahah eeh sometimes ujasiri unahitajika mzee ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…!!! Kuna siku nilikuwa napanda kilina naiona FAW ile inashuka nayo nikakaza roho pembeni kuna semi 2 ikabidi nipige odd off nikaiwasha nilizikata chap nirudi kushoto ๐Ÿ˜…! The worst bet i ever made on road.

Una option u break ugongwe au ukaze mguu uwawahi ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…
 
Hao unaweza kuta sio watu ๐Ÿ˜Ž๐Ÿ˜Ž
 
Inakera hasa kama una ndege ya chini na sheli sio ishu๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…!!! You gotta feel those horses giving your the momentum! Hasa long trip ukutane na wenzio wamepagawa pia loh ni mwendo tu kama mko race track hamna mtu anataka unyonge๐Ÿ˜… ndio maana Holy Man hataki gari zisizo na kifua!
Hahaa kuna watu wana allergy na Low speed
 
Uko vizuri mkuu. Natumia Nissan Fuga 350XV.

3.5L V6

Hao mabig bro nakula nao sahani moja mwanzo mpaka mwisho wa safari. Watanizidi kwa kufukia matuta tu. Au kama wakitembea zaidi ya 180 kwa muda mrefu, maana I am limited to 180kmph nikiwa 4000rpm
Wale wahuni wanapigaga 240KPH so swiftly maana hawana destructions na matuta wanayafukiaga tu ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ