Ile ya Mond ni model ya 2020 kabla ya ile facelift iliotoka juzi juzi tu hapa! Ila gari nafuu kwa Marekani kuileta bongo hamna unafuu wowote mzee baba!Kama nilivyosema hayo magari ni very cheap ukinunua used brand new ndio shida. Kama hio Chrysler 300 c nilinunua dola elfu saba, na hio dodge nilinunua dola elfu nane mia tano na ile bmw ilikuwa dola 5000 na zote nikaingiza kwenye 40 feet container zote tatu. maana kutoka marekani huwezi kusafirisha gari ikiwa uchi lazima iwe kwenye container. na kusafirisha container mpaka tanzania dola 5000.
Kwahiyo hata hio escallade ukitaka ya 2017 au 2015 bado utainunua hata kwa dola elfu 25 mpaka 35 kwa bei nafuu. kama picha inavoonyesha hapo chini ni ya mwaka 2017. Pia wenzetu kila mwaka unavyoanza wanaacha gari ya mwaka uliopita. yaani gari nyingi barabarani ni za miaka minne au mitano nyuma.
Ila hio ndiga ya 2015 ikifika bongo utaiona kama brand new kumbe ishatumika balaa.
View attachment 1831071
Kulinganisha kipato cha USA na Tandale ni ujinga wa hali ya juuu 😀😀😀Ile ya Mond ni model ya 2020 kabla ya ile facelift iliotoka juzi juzi tu hapa! Ila gari nafuu kwa Marekani kuileta bongo hamna unafuu wowote mzee baba!
Ni ufala, in mzee wa upako voice!Kulinganisha kipato cha USA na Tandale ni ujinga wa hali ya juuu 😀😀😀
Nao wanao amua kuiba gari kama hilo, na kulileta huku bongo hawana akili nzuri
Pale Sinza Mugabe kabla ya kukunja kwenda mawasiliano ukiwa unatokea shekilango, nilipiga lile tuta nikiwa 100kph.
Nilikuwa sijapita ile njia muda mrefu sana. Hiyo siku napita saa 8 usiku nipo speed nashangaa gari imepaa. Ilivyotua ilibidi nipaki pembeni kama nusu saa nasikilizia shida itajitokeza wapi.
Ile siku sitakaa niisahau.
Unaingilia pale Mombo halafu unaanza kupanda mlimani. Ukifika Lushoto town unaendelea kupanda ndio unafika hapo Swiss cottage na kuna ingine inaitwa Muller's lodge ndio imepakana kabisa na kwa late Pres Mkapa.
Bus hadi Lushoto mjini...then unachukua Hiace
Mm huwa napita nyakati zote na carina my road. Na sio vumbi kote kuna mtu ana kiwanda huko kaweka lami sehemu fulani ya hiyo barabara.Hiyo njia ya baobab inaridhisha?
Kukiwa na mvua je?
En u bibi kipendhiih [emoji7][emoji7][emoji7]Spesheli kwa itayemfaa
View attachment 1831988
#4193 45920 4688
Kwa atayeipata asiache kutupia roadtrip pics.
Muwe na road trips njema, usalama kwanza.
Happy Sunday [emoji4].
En u bibi kipendhiih [emoji7][emoji7][emoji7]
Tatizo situmii halotel mie,Digits zimesoma?
Bonge la surprise [emoji3]Spesheli kwa itayemfaa
View attachment 1831988
#4193 45920 4688
Kwa atayeipata asiache kutupia roadtrip pics.
Muwe na road trips njema, usalama kwanza.
Happy Sunday [emoji4].
Tatizo situmii halotel mie,
Aameeen,
Hii ni spesheli kwa wana road trip wa JF wenye kutumia line ya Halotel.
🥂.
Siku nyingine upako ukishuka itakuwa kwa wenye line za Airtel.
Jiran Kasie naomba urudie kutuma tena hii vocha, maana wakati unatuma mimi sikuwepo online..[emoji38]Spesheli kwa itayemfaa
View attachment 1831988
#4193 45920 4688
Kwa atayeipata asiache kutupia roadtrip pics.
Muwe na road trips njema, usalama kwanza.
Happy Sunday [emoji4].