Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

We usiniambie

Kwahiyo mimi kazi yangu ni kuweka wese tu,au na wese anajitolea mtu kuniwekea
.

Ngoja wahusika waje kila mmoja asome majukumu yake
 
Haya ndio maeneo mazuri ya kwenda kuondoa stress

Haya ndio maeneo mazuri ya kwenda kuondoa stress
Unaingilia pale Mombo halafu unaanza kupanda mlimani. Ukifika Lushoto town unaendelea kupanda ndio unafika hapo Swiss cottage na kuna ingine inaitwa Muller's lodge ndio imepakana kabisa na kwa late Pres Mkapa.
 
Hii Mwanzo wa mwezi ujao, nitaunda hata ki emergency cha uongo na kweli, ili boss anielewe niende nikatoe maluwe luwe ha barabarani kidogo 😀😀
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…