Hujapiga hata picha hiyo view ya mtera,si unajua ukifatilia huu uzi na unajiona kama upo safarini vile..Acha kabisa aise barabara mbaya sijapata kuona! Nilikuwaga nasikia tu kuwa Nyang'oro kuna kona mbaya kuliko hata Kitonga nikawa nabisha maana mimi nilikuwa naamini Kitonga ndiyo kuna kona mbaya ila jana ndiyo nikajionea mwenyewe!
Kweli kwa Nyang'oro Kitonga inasubiri aise! Maana Nyang'oro kuna kona mbaya halafu barabara zake nyembamba kuna sehemu mnapita hadi unajiuliza hivi hapa magari mawili yanapishana kweli hapa bora hata Kitonga kona zake zina space kidogo!
Halafu Kitonga huwa panachukua takriban dakika 10 kupamaliza ila Nyang'oro ni karibu dakika 20 hivi! Ila zaidi ya yote nimependa ile view ya Mtera Dam inavyoonekana kwa chini!
Ooh sema we nakuaminia sana, you are a jack off all trades I guess.Eeh mie mdau sana
Yes kweli mkuu! Pale Mtera sijui kwanini sikupiga picha yaani eti picha nilianza kupiga tulivyoianza Nyang'oro!Hujapiga hata picha hiyo view ya mtera,si unajua ukifatilia huu uzi na unajiona kama upo safarini vile..
Itakuwa ulisoma bango la "MARUFUKU KUPIGA PICHA HAPA, AMRI"Yes kweli mkuu! Pale Mtera sijui kwanini sikupiga picha yaani eti picha nilianza kupiga tulivyoianza Nyang'oro!
Next time upige picha,huu uzi mzuri sana tunasafiri pamoja.Yes kweli mkuu! Pale Mtera sijui kwanini sikupiga picha yaani eti picha nilianza kupiga tulivyoianza Nyang'oro!
Hahahaaa kumbe hairuhusiwi kupiga picha ile sehemuItakuwa ulisoma bango la "MARUFUKU KUPIGA PICHA HAPA, AMRI"
Sawa sawa mkuuNext time upige picha,huu uzi mzuri sana tunasafiri pamoja.
Ndiyo, usithubutu kukutwa.Hahahaaa kumbe hairuhusiwi kupiga picha ile sehemu
Imetosha mkuu bado unahitajika na jamii inayokuzunguka na JF pia.Hii test yake nzuri mchana, usiku nitaiua gari ipo chini sana na sipendagi modification ya kunyanyua gari . Na mchana itabidi kujipanga sana kukabilina na trafic. Ila nilitest NZEGA to TBR kuna 127 km, nimetumia dk 30 .. kipande kizuri sana kilehakina tuta wala nini
Siku ukipiga utabaki hapohapo[emoji1751].Yes kweli mkuu! Pale Mtera sijui kwanini sikupiga picha yaani eti picha nilianza kupiga tulivyoianza Nyang'oro!
[emoji120][emoji120]Imetosha mkuu bado unahitajika na jamii inayokuzunguka na JF pia.
Aisee hongera, lakini una hatari mkuu. Maana hii ni average ya zaidi ya 150km kwa saaHii test yake nzuri mchana, usiku nitaiua gari ipo chini sana na sipendagi modification ya kunyanyua gari . Na mchana itabidi kujipanga sana kukabilina na trafic. Ila nilitest NZEGA to TBR kuna 127 km, nimetumia dk 30 .. kipande kizuri sana kilehakina tuta wala nini
Kabisa.Imetosha mkuu bado unahitajika na jamii inayokuzunguka na JF pia.
Duh kwanini hawaruhusu sasaNdiyo, usithubutu kukutwa.
(Ingawaje kwa teknolojia za sasa haina maana sana)
Polo ni Ka baby walker. Golf GTi ndio chuma kilichoumbwa kutulia.Mkuu RRONDO , najua you are well packaged with sufficient knowledge kuhusu chuma za mjerumani.
Hivi, kati ya VW golf GTi na VW Polo GTi... ipi ina unafuu kwenye maintenance costs?
Kwenye performance, ipi ni ya kibabe kwenye kuufukuza upepo?
Polo na Golf.. ni jamii ya baby-walker? minimum engine cc ni ngapi?
-Kaveli-