Juakali jr
JF-Expert Member
- Aug 8, 2019
- 738
- 1,759
Shukrani mkuu kwa angalizo. Nimepona sehemu mbili j3 hii njia ya tegeta na kabla tu ya kuingia kibambaThanks Dualis Driver, you save me from the 50km/hr traffic camera 🎥.
View attachment 1810176
Yaani alikuwa mbele yangu anaenda mwendo mdogo nikasema huyu anatongoza demu aamaaa..! Wakati barabara ilikuwa nyeupe inaita.
Kushoto nako kuna daladala ndo kwanza inadema.... nikawa mpole, usawa wa geti la COTEX nikaona yangeyange na camera yao daaah...!!
Nikajukuta nalibusu Dualis by far, ila sasa baada ya kuwapita askari alitumua mbiooo hadi nikashindwa soma plate number zake....😊.
Hizi tochi Daslam tulishazisahau naona zimerudi.... Mungu anisaidie nilegeze kisigizo maana elf 30 kuipa sirikali inaumaa 🤨.
Kasie Matata.
Mkuu shukrani kwa muongoza, nimefika salama....kuna ming'oko mingi sana huko mjomba..
Pia napenda Masasi yale mawe makubwa...
Kule mtwara kuna beach nzuri mfano Mikindani na Shangani...
Lakini pia kuna watoto wa Kimakonde, Kiyao na Kimakua....
Kutongoza hawa ni simple sana...mwambie tu unamleta mjini....atajibu .."Baa! Namie naenda njini..?" Hapo tayari umeshajiopolea......
Cate hotel Moro?!Raha ya trip mida kama hii unapata gahawa
View attachment 1814445
Chombo nimeiona! Ina my favourite feature SUNROOF 🔥🔥🔥🔥. Hio ufungue halafu umepiga shades kaliii duh unanikumbusha enzi za ujana!Raha ya trip mida kama hii unapata gahawa
View attachment 1814445
Duh!Chombo nimeiona! Ina my favourite feature SUNROOF [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]. Hio ufungue halafu umepiga shades kaliii duh unanikumbusha enzi za ujana!
Raha ya trip mida kama hii unapata gahawa
View attachment 1814445
Baada ya kusoma ndo nami nikaizoom......ila sijang'amua ni sedan au SUV?.... Chombo imetulia na rangi yake sio ya nyumbaChombo nimeiona! Ina my favourite feature SUNROOF 🔥🔥🔥🔥. Hio ufungue halafu umepiga shades kaliii duh unanikumbusha enzi za ujana!
Tunadumu tu mkuuCc wa IST Tough road Trip Tutadumu kweli ¿
Another InspirationRoad trip zangu panapo majaliwa kuanzia mwakani nikipata Pick up "Bakkie" iwe Nissan Hardbody au Toyota Hilux Single Cabin kwa mwezi itanilazimu kutembea +4000km. Dar-Mwanza-Musoma-Bukoba-Kampala-Kisumu-Kigoma-Rukwa-Mbeya-Songea Nyasa-Lindi-Mtwara-Pwani-Tanga-Dar.
Katika kupambana na fursa hapa Tanzania itanilazimu niwe napita kwenye maziwa na bahari, gari siti mbili za mbele zinatosha vingine anasa.
Tutawanyike kwenye uso wa dunia tukatafute riziki.
Ndio penyewe haswaaa.. lazima nipoite hapo kugonga Americano, kuna dogo mmoja huwa ananitengezea kama ninavyo taka na kuipendaCate hotel Moro?!
Eeh mie mdau sanaHahaaa kivipi na wewe ndiyo mambo yako nini hayo
AmenRoad trip zangu panapo majaliwa kuanzia mwakani nikipata Pick up "Bakkie" iwe Nissan Hardbody au Toyota Hilux Single Cabin kwa mwezi itanilazimu kutembea +4000km. Dar-Mwanza-Musoma-Bukoba-Kampala-Kisumu-Kigoma-Rukwa-Mbeya-Songea Nyasa-Lindi-Mtwara-Pwani-Tanga-Dar.
Katika kupambana na fursa hapa Tanzania itanilazimu niwe napita kwenye maziwa na bahari, gari siti mbili za mbele zinatosha vingine anasa.
Tutawanyike kwenye uso wa dunia tukatafute riziki.
Mkuu huko kwenye greens nitashare baada ya safari, moshi mojaSafiri salama....usisahau picha za green views
Tunadumu vizuri sana boss..Cc wa IST Tough road Trip Tutadumu kweli ¿
Hii test yake nzuri mchana, usiku nitaiua gari ipo chini sana na sipendagi modification ya kunyanyua gari . Na mchana itabidi kujipanga sana kukabilina na trafic. Ila nilitest NZEGA to TBR kuna 127 km, nimetumia dk 30 .. kipande kizuri sana kilehakina tuta wala niniMkuu Holy man naomba 'uitest' Audi A 4 trip ya dar_dom kwa kumaliza kisahani,halafu tuambie utatumia muda gani?last time ukiwa na subaru ulitumia 4:30HRS.