Ana nyuzi nyingi sana, nimeshindwa kuutafuta.
TVS Apache RTR 160
Mhindi yuko vizuri. Nnayo mpaka leo
5 series inaweza kuwa kati ya Crown na GX100 kwa ukubwa. Crown inaweza kuwa ndefu kwa few cms
Too big to park!Ukitaka space ni 7series. 5 series ni medium size na ndio maana inapendwa na wengi. Sio too big,sio too small
Safari nzima. Huwezi endesha any considerble speed without a helmetHivi Helmet mtu avaa safari nzima au kuna muda anavua
Ndio mkuu. Roho jiwe [emoji23][emoji23]Hii ni cc 160?
Hivi Helmet mtu avaa safari nzima au kuna muda anavua
Petrol.Hata wakati wa acceleration rpm isizidi 2k? Ni gari ya diesel?
You know what it takes to get 125kph as average speed?!! Watu tunatembea mpaka 180kph, sehemu nyingi unatembea 140kph ila unaishia average speed 80-100kph. Wewe umepata average speed 125kph na rpm isizidi 2000?Petrol.
Naenda taratibu, naacha ichanganye yenyewe japo inachukua muda kidogo.
Na average speed ilikuwa 125kph.
Nimetumia arround lita 45 dar - arusha.
Imagine upo speed 200kph bila helmet, kwanza huwezi, na lazima iwe helmet ya uhakika sio za Bodaboda. Kuna siku mtu alilazimisha lift, sikuwa na helmet ya passenger, nilipofika 160kph aliomba ashuke
Haichoshi KweliSafari nzima. Huwezi endesha any considerble speed without a helmet
[emoji3][emoji3] [emoji2][emoji2]Ha ha ha anavua akisimama kuchimba dawa au kula.
Duuh na kweli unaweza fika unakoenda Ukiwa kiziwiImagine upo speed 200kph bila helmet, kwanza huwezi, na lazima iwe helmet ya uhakika sio za Bodaboda. Kuna siku mtu alilazimisha lift, sikuwa na helmet ya passenger, nilipofika 160kph aliomba ashuke
Hapana. It feels natural kama sehemu ya mwili wakoHaichoshi Kweli
Top speed yangu ilikuwa 128kph... ubena zomozi hills. 160 siipatii picha!!!Imagine upo speed 200kph bila helmet, kwanza huwezi, na lazima iwe helmet ya uhakika sio za Bodaboda. Kuna siku mtu alilazimisha lift, sikuwa na helmet ya passenger, nilipofika 160kph aliomba ashuke
Interesting stuff!Halafu average speed kapata 125kph
Kiliumana pakubwa!Pascal Mayalla apata ajali
Mdau Mpoki Bukuku wa Mwananchi na The Citizen anatujulisha kwamba Mwandishi wa siku nyingi na mtangazaji ambaye pia ni mjasiliamali ndugu yetu Pascal Mayalla amepata ajali mbaya ya pikipiki yake alipokuwa akisafiri kwenda mkoani Mkoani Dodoma. Bw Pascal Mayalla amepata majereha sehemu...www.jamiiforums.com
Waraka wa Pascal Mayalla - Asanteni Sana!
Wana Forum, Salaam. Naombeni kutoa waraka wangu huu wa Shukrani kupitia Jamii Forums kwa Sababu ni Jamii furum hii ndio iliowajulisha wengi kuhusiana na ajali yangu ndipo namimi nilipoijua hivyo nishukuru sana jamiiforums na natoa shukrani zangu mbalimbali. Leo 3/08/09 umetimia mwaka mmoja...www.jamiiforums.com
Average speed au unamaanisha top crusing speed?Petrol.
Naenda taratibu, naacha ichanganye yenyewe japo inachukua muda kidogo.
Na average speed ilikuwa 125kph.
Nimetumia arround lita 45 dar - arusha.