Ngulu Suji ni kijiji cha ajabu, enzi hizo ukimsimamisha binti basi Kijiji kizima kimekuona na watajua ulichokiombaShida ukishafika huko juu hamna kitu zaidi ya makazi kama kijiji kingine tu
Namna nzuri ya kubishana na Trafic ni kukaa kimya na majibu ya ndio na hapana basi , ila sio maneno maneno.. unaeza jiponza burekuna post nimeikuta huko nyumba eti Traffic anagomewa,
kuna jamaa yangu kaja nililia nikamuombee msamaha kwa Traffic kituoni
Eti juzi kawavimbia kwenye Zebra akaambiwa basi apark mbele Harrier yake Old Model kwani walimchukulia Leseni yake, kumbe yupo Vehicle Insp
Wakamwambia funua boneti, wakakuta ilikuwa ya 6 sasa kaweka 4 cylinder bila kubadili kwenye kadi TRA, duh wakampeleka kwao ili waing'oe injini waiweke rumande (eti ya wizi)
Jamani tuweni wapole HEWALA SI UTUMWA tutoe za kubrashi
Mkuu kuna wakati ndiyo na hapana havifanyi kazi pekeyake bila maelezo kamilifu. Ishu inategemea unabishana na Trafiki kwa hoja gani-Manake trafiki wengine wakikutana na watu wenye uelewa na wanajua wanachobishania na wenyewe hutoka jasho jembamba vile vile kama sisi.Kama unauelewa wa jambo askari atakujua tu na kama unabishana kikanjanja atakujua tu.Namna nzuri ya kubishana na Trafic ni kukaa kimya na majibu ya ndio na hapana basi , ila sio maneno maneno.. unaeza jiponza bure
Sipendagi kubishana na wale jamaa kabisaa,wakikuamulia hawakosi makosa.kuna post nimeikuta huko nyumba eti Traffic anagomewa,
kuna jamaa yangu kaja nililia nikamuombee msamaha kwa Traffic kituoni
Eti juzi kawavimbia kwenye Zebra akaambiwa basi apark mbele Harrier yake Old Model kwani walimchukulia Leseni yake, kumbe yupo Vehicle Insp
Wakamwambia funua boneti, wakakuta ilikuwa ya 6 sasa kaweka 4 cylinder bila kubadili kwenye kadi TRA, duh wakampeleka kwao ili waing'oe injini waiweke rumande (eti ya wizi)
Jamani tuweni wapole HEWALA SI UTUMWA tutoe za kubrashi
Namna nzuri ya kubishana na Trafic ni kukaa kimya na majibu ya ndio na hapana basi , ila sio maneno maneno.. unaeza jiponza bure
Sipendagi kubishana na wale jamaa kabisaa,wakikuamulia hawakosi makosa.
Shida kubwa madereva wengi hasa vijana ni ujuaji ndio maana traffic police wanawakomoa. Be humble utamuona na yeye anabadilika. Though wapo pia traffic vichomi.Mkuu kuna wakati ndiyo na hapana havifanyi kazi pekeyake bila maelezo kamilifu. Ishu inategemea unabishana na Trafiki kwa hoja gani-Manake trafiki wengine wakikutana na watu wenye uelewa na wanajua wanachobishania na wenyewe hutoka jasho jembamba vile vile kama sisi.Kama unauelewa wa jambo askari atakujua tu na kama unabishana kikanjanja atakujua tu.
Kua humble kumenisaidia sana kwenda nao sambamba.Shida kubwa madereva wengi hasa vijana ni ujuaji ndio maana traffic police wanawakomoa. Be humble utamuona na yeye anabadilika. Though wapo pia traffic vichomi.
Kiuhalisia ni kwamba Traffic hapaswi kutafuta kosa kwenye gari-Anapaswa kujua kwa nn anakusimamishia na siyo kuibua problems kichwani kwa kuhisi.Wabongo shida yetu ni kwamba hatujui wajibu wetu na haki zetu hasa tunaposimamishwa na traffic & appropriate channels za ku escalate mambo yetu pale tunaposhindwa kuafikiana.Hon. Kangi Lugola alitufumbua sana macho wananchi juu ya haki zetu pamoja na wajibu wa traffic na ndiyo maana hawa jamaa wa wa usalama barabarani hawakumpenda hata kidogo.Sipendagi kubishana na wale jamaa kabisaa,wakikuamulia hawakosi makosa.
Traffic nikisha mpimia na kumuona anataka kunikandamiza kwa jambo ambalo ninalifahamu kiundani-Lazima ajipangeShida kubwa madereva wengi hasa vijana ni ujuaji ndio maana traffic police wanawakomoa. Be humble utamuona na yeye anabadilika. Though wapo pia traffic vichomi.
Nilikua najiuliza sana kwanini hupendag night trips ila sahizi nimeelewaTatizo nakimbia sana, usiku siwezi kuona umbali mrefu. Naogopa vicheche nisije kukutana nacho kwenye Kona au Mlima nikiwa 170! Nishapiga trip za usiku ila inachosha. Unapishana na gari then huoni kwa sekunde kadhaa ni hatari.
Unaijua hii yenye engjne ya VQ35 😀😀😀😀 au jesta.. ila nataka inayo anzia 2013.. kabei kake kazuri hasa zenye URS engine zenye UZS bei ipo chini ila sijazipenda.. ! Bado kidogo kibubu kifumuke..Hahahah unataka kuhamia wapi sasa mzee?
Unabishana vipi na mtu mwenye authority na yupo katika eneo la kazi kama sio ndio na hapana.. nitampa maelezo ila sio kubishana na nitampa malezo sawa sawa na alicho uliza ila mengine noMkuu kuna wakati ndiyo na hapana havifanyi kazi pekeyake bila maelezo kamilifu. Ishu inategemea unabishana na Trafiki kwa hoja gani-Manake trafiki wengine wakikutana na watu wenye uelewa na wanajua wanachobishania na wenyewe hutoka jasho jembamba vile vile kama sisi.Kama unauelewa wa jambo askari atakujua tu na kama unabishana kikanjanja atakujua tu.
Unaijua hii yenye engjne ya VQ35 😀😀😀😀 au jesta.. ila nataka inayo anzia 2013.. kabei kake kazuri hasa zenye URS engine zenye UZS bei ipo chini ila sijazipenda.. ! Bado kidogo kibubu kifumuke..
Huu unaitwa woga kwenye haki ya msingi.Full stopUnabishana vipi na mtu mwenye authority na yupo katika eneo la kazi kama sio ndio na hapana.. nitampa maelezo ila sio kubishana na nitampa malezo sawa sawa na alicho uliza ila mengine no
Kwa wenzetu police akikusimamisha anakufahamisha kwanini amekusimamisha though kuna routine checksKiuhalisia ni kwamba Traffic hapaswi kutafuta kosa kwenye gari-Anapaswa kujua kwa nn anakusimamishia na siyo kuibua problems kichwani kwa kuhisi.Wabongo shida yetu ni kwamba hatujui wajibu wetu na haki zetu hasa tunaposimamishwa na traffic & appropriate channels za ku escalate mambo yetu pale tunaposhindwa kuafikiana.Hon. Kangi Lugola alitufumbua sana macho wananchi juu ya haki zetu pamoja na wajibu wa traffic na ndiyo maana hawa jamaa wa wa usalama barabarani hawakumpenda hata kidogo.
Labda tusiseme kubishana, tuseme kueleweshana. Wakati vuguvugu la zebra limeshika kasi mmoja alinisimamisha akataka kuniandikia kisa sikusimama kwenye zebra na hakuna mtu anavuka. Eti hata kama hamna mtu inabidi usimame uwashe hazard(wengi walipigwa faini) wakati sio kweli Sheria haisemi hivyo. Baadae polisi wenyewe wakatoa ufafanuzi kwenye zebra unasimama iwapo kuna watu wanataka kuvuka.Unabishana vipi na mtu mwenye authority na yupo katika eneo la kazi kama sio ndio na hapana.. nitampa maelezo ila sio kubishana na nitampa malezo sawa sawa na alicho uliza ila mengine no
Na hata hapa bongo ndo inapaswa kuwa hvyo kwa utaratibu wa sheria. Mh.Kangi amebadilisha sana mambo mengi-Nitaongelea mifano michache,Alipiga vita sana mtu kupigwa tochi za nyuma ya gari na kusema ni kinyume cha utaratibu.Akasema pia ni marufuku kupiga picha kwa kuvizia au kupiga picha kituo A ili ukakamatwe kituo B.Akaenda mbali kusema kama Traffic kaangalia tairi la gari limekutwa kipara,kioo kina crack,taa imepasuka yote hayo ni makosa ya ubovu wa gari na ni kosa moja hvyo halitazid 30'000.Kwa wenzetu police akikusimamisha anakufahamisha kwanini amekusimamisha though kuna routine checks
Sometimes ni kweli uko kwenye right,ila sasa upotevu wa muda mpaka ionekane uko kwenye right ndio watu wanaepuka.Kiuhalisia ni kwamba Traffic hapaswi kutafuta kosa kwenye gari-Anapaswa kujua kwa nn anakusimamishia na siyo kuibua problems kichwani kwa kuhisi.Wabongo shida yetu ni kwamba hatujui wajibu wetu na haki zetu hasa tunaposimamishwa na traffic & appropriate channels za ku escalate mambo yetu pale tunaposhindwa kuafikiana.Hon. Kangi Lugola alitufumbua sana macho wananchi juu ya haki zetu pamoja na wajibu wa traffic na ndiyo maana hawa jamaa wa wa usalama barabarani hawakumpenda hata kidogo.
Hiki hutokeaga kwangu hasa nikichanganya sheli. Mara nyingi huwa naweka Total nikiwa mjini ila siku za safari huwa naweka wese la Lake oil full tank.Duh leo nimetenda dhambi roho imeniuma sana. Nilikuwa na gari sijaizoe. Taa ya mafuta imewaka range inanionesha nina km20 tu. Nikaamua niweke mafuta ya kunifikisha home tu nikaweka 10,000 nilijua itaongeza range hadi km60 hivi. Baada ya kuweka mshale haukusogea wala range haikubadilika. Nikaenda ninapoenda range inashuka.
Kurudi nikapita njia ile ile range iko 14, nikapita pale kituo cha mafuta nikamwambia Yule dada nimeweka mafuta hapa kwako lakini gauge haikupanda wala kuonesha kuna mafuta yameingia, umeniibia! Dada Yule akasema sijakuibia nimekuwekea hela ulionipa nikamwambia haiwezekani kusiwe na mabadiliko kwenye gauge, ikabidi niende kituo kingine nikaweka 10, aisee gauge ikakurupuka ikapanda sana na range ikaja kwenye 110km. Hapo nikajua ni kweli aliweka mafuta nimemsingizia tu. Nimejisikia vibaya sana.