ISO M.CodD
JF-Expert Member
- Feb 17, 2013
- 8,139
- 17,612
Sasa Singida huko huwa hawamind mistari, labda kwa nadra 50, nilipigwa tochi Igunga last time nkawatia 5k.Ndio nifanyavyo mimi. Natii sheria zote. Nafuatq mistari na 50kph naziheshimu.
Kwa Mtanzania wa kawaida kusimamishwa kuulizwa leseni kukaguliwa deni kwake ni usumbufu.Sasa Singida huko huwa hawamind mistari, labda kwa nadra 50, nilipigwa tochi Igunga last time nkawatia 5k.
Nachojiuliza ni kwamba amesumbuliwa Singida huku akifuata sheria zote? Au amesimamishwa labda kwa ajili ya ukaguzi wa madeni tu?
Inawezekana tunatofautiana definition ya usumbufu. Mimi kunisimamisha kwa kuvuka 50 kwenye open area au kulipita lori linalopanda mlima kwa 10kmph ndio usumbufu, jambo ambalo limetawala Moro Dar.
Kunisimamisha kwa ukaguzi wa madeni, bima, uhamiaji n.k sioni kama ni usumbufu
I wonder huko Singida pamekuwa na usumbufu wa aina gani kuzidi Pwani & Moro
AiseeUuweeeh.....!! Basi nimekubali kuwa msoma ramani kwenye safari zako 😋😋🤪🤪🤪.
Uniruhusu tuu kula mabungo kwenye gari sina garama. Na mabungo nakuja nayo mwenyewe...😋😋😋.
Halafu unirudishe nyumbani kabla ya saa 12 jioni...😜😜😜.
Halafu kwenye kidroo cha gari uwekamo chokoleti mweeh mweeeh.....!!!!🤩🤩🤩.
Aisee
nilipotezwa, na mwanangu mwanasiti vijino kama chikichi, 😂
Siku nimejivala kivyee na pantaloni ya Bon Voyage, nitakobenga yo fasi ya abiria 🤪🤪.
Mabungo haiko mikakatano 🤣
Tutajipata tu na chocolat byeeen 😎
Barabara za wenzetu zinaruhusu michezo
😁😁 khee muda huo gari speedometer 240 au? Kama ni 180 nishushe kituo kinachofata.Aaa wapi sio na foleni za yale malori na 140-150kph. Siwezi kuendesha 120 or below.
🤣🤣 mpk mwisho wa mwezi mzuka si utakuwa umeniishaNjoo mwezi huu mwishoni napokea upatu ndio niweke full tank tuenjoyyy😂
Hapo safi na story zitanoga zaidi, imepita hiyo uje na DNa mimi naomba lift...at least mtapata wa kubadili tairi
Si unafurahia kulaza mshale na overtaking 😁😁Niwe na wewe nakimbilia wapi?
Unataka lift na una masharti🤣🤣🤣🤣 mpk mwisho wa mwezi mzuka si utakuwa umeniisha
Masharti muhimuUnataka lift na una masharti🤣🤣
Kama una hela ya mafuta njoo kesho tupige trip ya Kisarawe
🤣🤣 Hamna hata kupiga honiMasharti muhimu
Unataka unibebe kama mbuzi kisa ni lift 😂😂