ISO M.CodD
JF-Expert Member
- Feb 17, 2013
- 8,139
- 17,612
Ndio maana zinaitwa dakika za nenda salama. Unaanza kuchukua tahadhari wakati ulikotoka ni mbali kuliko unakokwenda?Uuweeeh....!!! Mi licha ya umri kusonga namuiga Baba Bataringaya 🙌.
Nimestaafu mambo ya kiza kinene, nyie endeleeni kutuwakilisha.
Wee lile giza la kwenye yale madaraja ya kati ya Bagamoyo na Msata unalionaga.....
Halafu ile siku napita sikupishana na gari yeyote toka Msata hadi nafika kituo cha mafuta BP, weeeh.... sina hamu.
Wakati najaza mafuta tena ile usiku mnene pale BP nilikuta Nissan Patrol zile tinted (za kazi maalum za kiserikali) niliitambua haraka japo ina plate namba za kawaida.
Dereva alikuwa ananitolea macho yenye maswali ila hana namna ya kuniuliza....
He was like, wewe mwanamke, usiku wote huu unatoka wapi, halafu nilivokuwa nimevaa sasa.... kilemba gauni kama dera ila linaishia magotini, viatu chachacha za ngozi soli ya mpira ile inakunjika kama silicon....🤪🤪🤪
Nikawa najinyoosha maana ndo sehemu niliona salama kushuka tangu kuanza safari Tanga, kisha huyooo nikamalizia safari hadi kitongojini nikapumzisha Bange za Kasinde.
Ndio maana zinaitwa dakika za nenda salama. Unaanza kuchukua tahadhari wakati ulikotoka ni mbali kuliko unakokwenda?
hakika ilikuwa kitamboAahhahaaaa sssshhhhh, punguza sauti wasisikie wengine.
Tumeshastaafu hizo kazi, ilikiwa enzi za Ben yuko madarakani.
Aisee....Uuweeeh....!!! Mi licha ya umri kusonga namuiga Baba Bataringaya 🙌.
Nimestaafu mambo ya kiza kinene, nyie endeleeni kutuwakilisha.
Wee lile giza la kwenye yale madaraja ya kati ya Bagamoyo na Msata unalionaga.....
Halafu ile siku napita sikupishana na gari yeyote toka Msata hadi nafika kituo cha mafuta BP, weeeh.... sina hamu.
Wakati najaza mafuta tena ile usiku mnene pale BP nilikuta Nissan Patrol zile tinted (za kazi maalum za kiserikali) niliitambua haraka japo ina plate namba za kawaida.
Dereva alikuwa ananitolea macho yenye maswali ila hana namna ya kuniuliza....
He was like, wewe mwanamke, usiku wote huu unatoka wapi, halafu nilivokuwa nimevaa sasa.... kilemba gauni kama dera ila linaishia magotini, viatu chachacha za ngozi soli ya mpira ile inakunjika kama silicon....🤪🤪🤪
Nikawa najinyoosha maana ndo sehemu niliona salama kushuka tangu kuanza safari Tanga, kisha huyooo nikamalizia safari hadi kitongojini nikapumzisha Bange za Kasinde.
Sawa mkuuSiri yangu njoo huku
Mkuu naomba nikuulize Swali ?Siri yangu njoo huku
Kama ina hali nzuri unafanya service ya kawaida tu ya engine labda na gearbox. Engine oil tumia 5w40 ya kampuni zinazoeleweka Total,Castrol, Mannol, Liqui moly. Gearbox service huwa haifanywi mara kwa mara as long as husikii kitu chochote cha ajabu gear zikibadilika.Mkuu naomba nikuulize Swali ?
Crown hasa hizi used ya bongo ikinunuliwa kwa mtu na ikiwa ina hali nzuri kwa milioni 11 hivi kwenye service nikatupe vitu gani haswa na oil ipi nzuri ya kuifaa kwanzia engine oil, gearbox oil?
Ahsante mkuuKama ina hali nzuri unafanya service ya kawaida tu ya engine labda na gearbox. Engine oil tumia 5w40 ya kampuni zinazoeleweka Total,Castrol, Mannol, Liqui moly. Gearbox service huwa haifanywi mara kwa mara as long as husikii kitu chochote cha ajabu gear zikibadilika.
Sehemu kubwa unakuta hakuna michoro ya sakafuni na wala hujui mwisho wa barabaraHasa kuanzia Moro kwenda Dom ni balaa.
Nlijipachika last minute kwenye convoy ya washkaji, tulienda na Haval na Forester. Kili marathon na nyinginezo za aina hiyo ndio mwanzo na mwisho kwenda, wahuni walinizoom narekodi show ya kina jaivah, mario na whozu wakapita na macho matatu.Mkuu Trip ya Kili msimu huu hatukutafutana.
Pole sana. Kuna watu waliniburuza kwenda huko nilivyofika njia ya kuingia huko nilivyoona lile vumbi na foleni nikawaambia waende tu narudi kulala.Nlijipachika last minute kwenye convoy ya washkaji, tulienda na Haval na Forester. Kili marathon na nyinginezo za aina hiyo ndio mwanzo na mwisho kwenda, wahuni walinizoom narekodi show ya kina jaivah, mario na whozu wakapita na macho matatu.