Introsagvert
JF-Expert Member
- Sep 9, 2019
- 1,478
- 3,076
Kuna pikipiki zinakimbia aiseee. Kuna siku natokea Singida, tulivyofika maeneo ya karibia na chalinze ilikuja pikipiki nyuma wala sio kubwa sana ilitukata tukiwa 150, mbele kulikuwa na crown, akamkata na yule mwenye crown taratibu kama masihara maana ilikuwa ni sehemu barabara imenyooka. Gari zima tukabaki tunacheka[emoji16][emoji16]. Yule mwamba hata sijui pikipiki gani ile alikuwa anapepea tu.Umenikumbusha, mwezi uliopita nilikutana na Fortuner kwenye stretch moja iliyonyooka, akataka kuweka ligi, nilikuwa na Bike, nikavuta mpaka 220kph, alikaa chini. Kama yupo humu na anakumbuka kukutana na bike maeneo ya kanda ya ziwa, ningefurahi Kuchota naye.
Kuna pikipiki zinakimbia aiseee. Kuna siku natokea Singida, tulivyofika maeneo ya karibia na chalinze ilikuja pikipiki nyuma wala sio kubwa sana ilitukata tukiwa 150, mbele kulikuwa na crown, akamkata na yule mwenye crown taratibu kama masihara maana ilikuwa ni sehemu barabara imenyooka. Gari zima tukabaki tunacheka[emoji16][emoji16]. Yule mwamba hata sijui pikipiki gani ile alikuwa anapepea tu.
Chuma hiko[emoji106]Ya kwangu maximum speed ni 240kph. Sijawahi ifuta naishia 225
Ya kwangu maximum speed ni 240kph. Sijawahi ifuta naishia 225
Pikipiki aina gani hio ?
Kitu ninacho tamani kwa sasa ni kupata hiyo kitu ... Natamani kupata Yamaha Super Tenere 700cc ni moto ulao.Kuna pikipiki zinakimbia aiseee. Kuna siku natokea Singida, tulivyofika maeneo ya karibia na chalinze ilikuja pikipiki nyuma wala sio kubwa sana ilitukata tukiwa 150, mbele kulikuwa na crown, akamkata na yule mwenye crown taratibu kama masihara maana ilikuwa ni sehemu barabara imenyooka. Gari zima tukabaki tunacheka[emoji16][emoji16]. Yule mwamba hata sijui pikipiki gani ile alikuwa anapepea tu.
Ameshikwa kiboya sana🤣
Imekaa kibabe[emoji106]Kitu ninacho tamani kwa sasa ni kupata hiyo kitu ... Natamani kupata Yamaha Super Tenere 700cc ni moto ulao.
Hii comment iprintiwe kisha iwekewe lamination na kila kijana apate kuiona.Tanzania kuendesha zaidi ya 120 ni kujitafutia majanga.. Hamna barabara inaruhusu hiyo speed Tanzania
bike gani mkuu unatumia?Umenikumbusha, mwezi uliopita nilikutana na Fortuner kwenye stretch moja iliyonyooka, akataka kuweka ligi, nilikuwa na Bike, nikavuta mpaka 220kph, alikaa chini. Kama yupo humu na anakumbuka kukutana na bike maeneo ya kanda ya ziwa, ningefurahi kuchat naye.
Alikipata chamotoUmenikumbusha, mwezi uliopita nilikutana na Fortuner kwenye stretch moja iliyonyooka, akataka kuweka ligi, nilikuwa na Bike, nikavuta mpaka 220kph, alikaa chini. Kama yupo humu na anakumbuka kukutana na bike maeneo ya kanda ya ziwa, ningefurahi kuchat naye.
hvi huku kwnye pikipiki ni vipuri gharama kma kwnye magari yao??Pikipiki kama bmw 1200gs sio hata ya kufata iache iende tu utaumiza gari.
vipuri sio ghalama sana ila kwenye kuinunua ndo balaa hiyo 1200gs ni almost 35 millions tsh used ndo unapata kwenye 25m Hivihvi huku kwnye pikipiki ni vipuri gharama kma kwnye magari yao??
hyu alikuwa anauza hyo beivipuri sio ghalama sana ila kwenye kuinunua ndo balaa hiyo 1200gs ni almost 35 millions tsh used ndo unapata kwenye 25m Hivi