Wazee wa PS games tukutane hapa

Hivi hizi mnazipendea nini ?Hamjui zinaharibu bongo zenu na mnakuwa addict ?Mwanangu wa 9 yrs kaniomba nimnunulie PS4. Nimekataa maana i hate video games.Video games ni sawa na madawa ya kulevya. Zinaharibu nguvu kazi.

ingekuwa hivyo wazungu na kina sisi tungekuwa vilaza.

mimi mzaz wangu alininunulia ps 1 mwaka 1999 niko la 5.. na nilikuwa nacheza daily na la saba nilifaulu.. mwaka 2003 cristmass alileta ps 2 nyumbani kama zawad.. tukaendelea kucheza sana.. o level yote nacheza game sana,,,na form 4 nilipata div 1..

A level mwendo huo huo na bado div 1 ikatema.. nikapata ps 3 mwaka 2008 na ukilaza haukuja...

tena game ambazo tulikuwa tunacheza utotoni ziliongeza sana uwezo wangu wa kufikiria... mission game..

enz za ps 1 nakumbuka dino crisis, mission impossible 1, metal gear solid,,,

ps 2 god of war ya 1 na ya 2, black etc...

ps3 enz hizo god of war 3,resistance, metal gear etc

game inasaidia sana kuchangamsha akili
 
mwambie bora amnunulie mwanae aongeze uwezo wa kufikilia
 
.

Kwa mtoto sawa ila kwa mtu mzima ni moja ya kiburudisho murua
tena sana Mtu mzima huuwezi shinda kwa Kimboka au kuvizia Ambiance na Mabaa yote sembuse vilabuni ni bora ushinde kwenye Game za computer
 
Natengeneza ps2&ps3 na ps4 naweka games&multi man nauza vifaa vyake pia games za pc zipo. mawasiliano 0623977173
 
Back
Top Bottom