Wazee wa Pirates Mpo Hapa.......!!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wazee wa Pirates Mpo Hapa.......!!!!

Discussion in 'Entertainment' started by KasomaJr, May 2, 2011.

 1. KasomaJr

  KasomaJr JF-Expert Member

  #1
  May 2, 2011
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 338
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Hii ni court injunction against Lime wire the download torrent ya siku nyingi sana.....The question is who will be the next? Africa tutapona? tutaweza Ku-afford genuine products like softwares etc!
   

  Attached Files:

 2. Ruge Opinion

  Ruge Opinion JF-Expert Member

  #2
  May 3, 2011
  Joined: Mar 22, 2006
  Messages: 1,696
  Likes Received: 306
  Trophy Points: 180
  Kwa nini msikune vichwa mkatengeneza vya kwenu? Hivi vyuo vyote ambavyo vinadai kufundisha IT vinazalisha nini? Kwa nini hao wataalamu wanaozalishwa hatuoni products zao zikiingia sokoni? Au ni yale yale ya ma-engineer wa kufanya repairs, ma-architects wa kuiba michoro ya wengine. Wachina kwa mfano wameiba business ideas kama za Google wakatengeneza kitu kinachofanana na hakuna lolote walilofanyiwa. Wahapahapa je, hamuwezi?
   
Loading...