k-star JF-Expert Member Joined Jul 19, 2013 Posts 541 Reaction score 392 Jan 22, 2014 #1 naomba kupatiwa source yoyote ntakayoweza kupata nyimbo ya wazee wa ngwasuma- inayoitwa wale wale
mwekundu JF-Expert Member Joined Mar 4, 2013 Posts 22,477 Reaction score 21,028 Jan 22, 2014 #2 U tube
k-star JF-Expert Member Joined Jul 19, 2013 Posts 541 Reaction score 392 Jan 22, 2014 Thread starter #3 mwekundu said: U tube Click to expand... hakuna kitu hapo nishaangali.
Aadilu JF-Expert Member Joined Mar 20, 2013 Posts 645 Reaction score 464 Jan 22, 2014 #4 Hiyo nyimbo iko katika album gani?
k-star JF-Expert Member Joined Jul 19, 2013 Posts 541 Reaction score 392 Jan 22, 2014 Thread starter #5 Aadilu said: Hiyo nyimbo iko katika album gani? Click to expand... ni muda wa wiki sasa naisikia ikipigwa kwenye vituo vya redio na bahati nzuri leo saa asubuhi clouds fm wameipiga ktk kipindi cha leo tena.
Aadilu said: Hiyo nyimbo iko katika album gani? Click to expand... ni muda wa wiki sasa naisikia ikipigwa kwenye vituo vya redio na bahati nzuri leo saa asubuhi clouds fm wameipiga ktk kipindi cha leo tena.
Baba Kapompo JF-Expert Member Joined Sep 11, 2013 Posts 1,344 Reaction score 468 Jan 22, 2014 #6 Link ipo dukani..penda kazi za wasanii wabongo kuwaungisha hamtaki au hamjui km nao wanamajukumu ?
Tusker Bariiiidi JF-Expert Member Joined Jul 3, 2007 Posts 5,554 Reaction score 2,160 Jan 22, 2014 #7 Hiyo "Wale wale" imepigwa na FM ACADEMIA?
k-star JF-Expert Member Joined Jul 19, 2013 Posts 541 Reaction score 392 Jan 22, 2014 Thread starter #8 Tusker Bariiiidi said: Hiyo "Wale wale" imepigwa na FM ACADEMIA? Click to expand... ntaipataje hiyo ndugu.....?
Tusker Bariiiidi said: Hiyo "Wale wale" imepigwa na FM ACADEMIA? Click to expand... ntaipataje hiyo ndugu.....?
D dyer New Member Joined Jan 19, 2014 Posts 1 Reaction score 0 Jan 22, 2014 #9 walewale ya kala jeremiah au?