Kirikou Wa Kwanza
JF-Expert Member
- May 24, 2013
- 3,564
- 1,991
Mzee mmoja aliagizwa sidiria na mke
wake, bahati mbaya alipofika dukani akasahau
size anayovaa mke wake. Mama muuzaji akamwambia,
"Usijali mzee kama umesahau size njoo unishike matiti yangu
ulinganishe na ya wife wako labda
utakumbuka size ya sidiria ulioagizwa." Mzee kusikia hivyo akajibu
"Nashukuru mama kwa ukarimu wako, lakini niliagizwa na chupi pia!"