Wazee wa mishikaki

hivi unajua mchina ni kiumbe ------ sana! anaweza kufanya mambo ya ajabu kabisa. sasa hii sifa sasa dah.
 
Hizi zikija dar watu wa bajaj itakula kwao.
 
Mmmhh itakiwa full kukumbatiana hapo sasa mdada ukute umekaa katikati ya wanaume looh. Ila haita kuwa rahisi kuchomekea maana ndefuu kaa nanihii...
 
Punguza mawazo hasi.
 
Hahahaha naona kuubalance wakati wa kuendesha ni kazi sana na pia hautakuwa na speed kubwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…