Wazee wa mikeka, wakamalia vipi hapa nitatoboa?

Wazee wa mikeka, wakamalia vipi hapa nitatoboa?

Miss Halima

JF-Expert Member
Joined
Aug 4, 2026
Posts
307
Reaction score
682
Hizi ni mechi za leo juma tano tarehe 26 / 8 , mkeka wangu nimejibwaga kama hivyo . mnaonaje wakuu je nitatoboa? hii ni straight win.

Real Madrid — WIN
Lyngby — WIN
Gagra — WIN
AEK Athens — WIN
Halmstads — WIN
Al Ahli — WIN
Teplice — WIN
Everton — WIN
VSK Aarhus — WIN
Flora Tallinn — WIN
Rapid Wien — WIN
Mladá Boleslav — WIN
Igman Konjic — WIN
Bootle — WIN
Newcastle United — WIN

1787746510453.png
 
View attachment 3657350
Jaribu tu mkuu, jana nimeweka jamvi langu wakati nacheza aviator nikapigwa yote nikaja kwenye jamvi langu, si nika cash out buku mbili jero bhana, ahh asubuhi nakuta jamvi limekubali lilikuwa na sabini fulani hivi
 
Hizi ni mechi za leo juma tano tarehe 26 / 8 , mkeka wangu nimejibwaga kama hivyo . mnaonaje wakuu je nitatoboa? hii ni straight win.

Real Madrid — WIN
Lyngby — WIN
Gagra — WIN
AEK Athens — WIN
Halmstads — WIN
Al Ahli — WIN
Teplice — WIN
Everton — WIN
VSK Aarhus — WIN
Flora Tallinn — WIN
Rapid Wien — WIN
Mladá Boleslav — WIN
Igman Konjic — WIN
Bootle — WIN
Newcastle United — WIN

View attachment 3657350
Straight win game 15?!....

Labda!....!

Labda kama kuna baadhi ya binamu zako wamo humo! Ni wachezaji kwenye vikosi vitakavyoanza leo!

Odds zisikudanganye!

Uefa hakunaga mnyonge!, Uefa sio ligi ya NBC kwamba unaweza tabiri mshindi!

Kama ni Kuza Cashout Code...hapo sawa!
 
Hizi ni mechi za leo juma tano tarehe 26 / 8 , mkeka wangu nimejibwaga kama hivyo . mnaonaje wakuu je nitatoboa? hii ni straight win.

Real Madrid — WIN
Lyngby — WIN
Gagra — WIN
AEK Athens — WIN
Halmstads — WIN
Al Ahli — WIN
Teplice — WIN
Everton — WIN
VSK Aarhus — WIN
Flora Tallinn — WIN
Rapid Wien — WIN
Mladá Boleslav — WIN
Igman Konjic — WIN
Bootle — WIN
Newcastle United — WIN

View attachment 3657350
Fanya kazi siku 6 mkuu!
 
Back
Top Bottom