Mkare_wenu
JF-Expert Member
- Mar 11, 2011
- 1,714
- 448
Valentine day mtajigawa vipi,mtoko inakuwaje?Utatoka na Small house ama wife?
tangu lini ukatoka na wife?natoka na mchepuko
mmmh ngoja nayeye apate kamchepuko ka fasta siku hiyo.
uwiiiiiiiiiiii demba naua mtu
wewe mbona hakuna anayekuua.
inauma eti
kama inauma basi usimtendee mwenzio pia coz na yeye anamoyo...
Kibaya kuliko vyote ni kwamba imeangukia Friday yani hapo no excuse.... ngoja waje wenye uzoefu namna ya kuhandle hii hali.
demba mbona mfalme suleiman alikua na wake 700 mimi wawili shida.
kuna tangazo moja jamaa anamlaum mwenzie 'Yaani wewe kadem kamoja tu unatumia kondom,unaumwa wewe si bure'
wamichepuko mbona watatoka na wote mchana small house usiku wife wakati huo huo ofisini anatoa taarifa ana tumbo la kuhara na nyumban anaaga anaenda kazini!
Mbona balaa tupu cku hiyo! !
hapo kazi wanayo wakitoka na smalll house,,, big house nae anatafuta serengeti boy ngoma drooo...
mwaka huu haki sawa