Mkare_wenu
JF-Expert Member
- Mar 11, 2011
- 1,714
- 448
- Thread starter
- #21
Kibaya kuliko vyote ni kwamba imeangukia Friday yani hapo no excuse.... ngoja waje wenye uzoefu namna ya kuhandle hii hali.
noma kweli
Kibaya kuliko vyote ni kwamba imeangukia Friday yani hapo no excuse.... ngoja waje wenye uzoefu namna ya kuhandle hii hali.
usitufanyie hivo miss chaga
nyie mle vitamu siye ndo tukose ... hapana ngoma drooo
Mhhhhhjjh. Waulize eachepujaji
demba mbona mfalme suleiman alikua na wake 700 mimi wawili shida.
alivyosema small house hakumaanisha mke wako wa halali bali ni kidumu chako cha nje a.k.a mchepuko.
atoke tu na small house, mie sitakuwa na energy za kujituma siku hiyo maana nina miadi na serengeti boy wangu time za lunch
alivyosema small house hakumaanisha mke wako wa halali bali ni kidumu chako cha nje a.k.a mchepuko.
Valentine day mtajigawa vipi,mtoko inakuwaje?Utatoka na Small house ama wife?
Au anko Kidevu.alivyosema small house hakumaanisha mke wako wa halali bali ni kidumu chako cha nje a.k.a mchepuko.
Valentine day mtajigawa vipi,mtoko inakuwaje?Utatoka na Small house ama wife?