Deeboyfrexh
JF-Expert Member
- Apr 3, 2015
- 3,422
- 5,597
Habari wana JF,
Eh bhana katika pita pita zangu humu ndani nimeshuhudia kwamba kuna makundi tofauti ya wanaume. Kuna wale wahongaji wazuri halafu kuna wale wasio na kitu yani mtaji ni kujua kusaundisha a.k.a wazee wa mali kauli. Baada ya kuyaona makundi hayo hapo juu nilitaka kufahamu kwamba je:
1. Ni yupi wenye mvuto zaidi kwenu wasichana/ wanawake?
2. Ni yupi ambae anaonesha kukimudu zaidi kitanda kati yao?
3. Yupi ambae anaweza kuanzisha mahusiano na kuyamudu vizuri kati yao?
4. Yupi anaweza kuwa chaguo sahihi for serious relationship?
5. Kwa wanaume je ni kipi bora kati ya kutumia njia ya kuhonga ama kusaundisha?