Bavaria
JF-Expert Member
- Jun 14, 2011
- 53,102
- 53,353
Kama gari zikiwa very recent ni sawa.Kama sahizi kodi sio rafiki tu ila watu wanaendesha DWD huko road je kodi ikiwa million 1 si itakuwa foleni inaanzia getini kwako mpaka posta
Wangepunguza kodi kwa magari ya siku za karibuni na kuongeza kwa magari za zamani.
Mfano gari ya 2018 iwe na kodi almost nusu ya gari ya 2009 au 2012.