Wazee wa kupinga kila kitu,kuparamia matukio na kubadilisha gia angani wapumzishwe sasa

pinno

pinno

JF-Expert Member
Joined
Jan 17, 2013
Messages
860
Likes
300
Points
80
pinno

pinno

JF-Expert Member
Joined Jan 17, 2013
860 300 80
Ifike mahali kama nchi tufanye maamuzi magumu

Hawa jamaa ambao kutwa kucha hawana cha kufanya,kazi ni kuangalia nini kimetokea wapi,nan kasema nini,kisha wana react na kuanza kulibeba hilo kama ajenda yao.

Jamaa ambao kwa miaka kumi walihubiri ufisadi,kisha ilipofika 2015 waka wakumbatia vinara wa matukio makubwa ya ufisadi (iwe kweli au si kweli) mke wa kaisari hapaswi kushutumiwa ,wakawafanya wao ndo iwe sura yao ,a complete 360 uturn

Tukadhan watakomea hapo ,tabia yao ya kuzingatia maslahi ya muda mfupi na kuacha ya muda mrefu,imeligharimu sana taifa siku za hiv karibuni,

Walisimamisha wagombea wa ubunge na udiwani bila ya kuwafanyia vetting ya kutosha ,wakizingatia tu kuwa huyu atatufanya tushinde uchaguz (maono hafifu sana) bila kuangalia vigezo vingine,kosa ambalo walilifanya pia kwa mgombea wao wa urais,kwa kupiga hesabu za kuwa watashinda uchaguzi akisimama,wakaacha sera ambayo iliwafanya wawe wao ,sera iliyowajenga,sera ya kupinga ufisadi sababu ni kuwa mgombea wao hakuwa mtu anae uzika sana kwenye hiyo sera.

Sasa hii tabia ya kupiga mahesabu mafupi ,2015 iliwagharimu wao,sababu wakakosa Ushindi,na wakapoteza wanachama wao wa muda mrefu.

Lakini waswasi wangu ni kuwa tabia hiyo imeanza kuvuka mipaka,na hasara zake zinakuwa tu sio za kwao bali za taifa nzima.

Imagine mabilion ya fedha ambayo tumepoteza kama taifa ,kwa kurudia chaguz za wabunge na madiwani kwa uzembe wa hawa jamaa.

Wanasimamisha wagombea dhaifu ambao wanakuja kuwaacha katikati ya safari, wanawasimamisha wagombea kwa mahesabu mafupi ya kushinda tu uchaguz.

Leo wanajali sana wao kuonekana smart kuliko utawala uliopo ,na wanafanya hivi kwa kujaribu ku wa popular ,lakini mbinu wanazotumia ni hatari na zinazigharimu taifa madhara ya muda mrefu sana.

Mfano kila kakitokea ka tatizo kadogo,jamaa wanakimbilia ulaya kulia lia, hili ni tusi dhidi ya uhuru wa nchi yetu?

Juzi mtu kaandika barua commonwealth,kushtaki suala la CAG, hiv alie kwambia kuwa hazina kubwa ya viongozi wote tulionao hapa nchini wameshindwa kutatua hiyo shida ni nani?

Whats commonwealth? Umoja ulio anzishwa na mtawala alietutawala ili aendelee kumonitor progress zetu? Anyway nafaham manufaa yake,na sipo against nao,

Ila this is a typical behavior of a house nigger.

Tuna ushahid kuwa jamaa mahesabu yao mabovu,yanayotanguliza tumbo mbele,faida za muda mfupi sana yanavyoligharimu taifa.

Wametugharimu billions of money za chaguz,kwa kutofanya vetting ya watu wao vizuri,

Wapo busy wana livua nguo taifa na kupinga kila kitu.

Sasa mimi nina ombi moja,kabla jamaa hawajatugharimu zaid,kabla ya 2020 kama taifa tufanya maamuzi magumu.

Tufute usajili wa vyama vyote, isipokuwa kilichopo madarakani kisha tuanze upya usajili.

Tuondokane na haya maigizo tunayowafanyia watanzania.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
pinno

pinno

JF-Expert Member
Joined
Jan 17, 2013
Messages
860
Likes
300
Points
80
pinno

pinno

JF-Expert Member
Joined Jan 17, 2013
860 300 80
Shida inaanza kwenye jina

Mtaitwaje wapinzani?

Yaani inamaana kuna wanaofanya then nyinyi kazi yenu ni kupinga?

Kwa kweli tufute vyote kisha tuanze upya

Tuwaite Vyama mbadala au jina lolote

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Godee jr

Godee jr

JF-Expert Member
Joined
Apr 17, 2012
Messages
1,255
Likes
1,135
Points
280
Godee jr

Godee jr

JF-Expert Member
Joined Apr 17, 2012
1,255 1,135 280

Hama kwenu ukapange na jifunze kutafuta pesa. Usisubiri pesa za bure.
Ukifanya hivyo naamini akili yako itakaa sawa na utaacha kuandika uchafu kama huu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
pinno

pinno

JF-Expert Member
Joined
Jan 17, 2013
Messages
860
Likes
300
Points
80
pinno

pinno

JF-Expert Member
Joined Jan 17, 2013
860 300 80
Godee jr

Godee jr

JF-Expert Member
Joined
Apr 17, 2012
Messages
1,255
Likes
1,135
Points
280
Godee jr

Godee jr

JF-Expert Member
Joined Apr 17, 2012
1,255 1,135 280
mtembea kwa miguu

mtembea kwa miguu

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2012
Messages
1,008
Likes
1,303
Points
280
mtembea kwa miguu

mtembea kwa miguu

JF-Expert Member
Joined Mar 23, 2012
1,008 1,303 280
Moisemusajiografii

Moisemusajiografii

JF-Expert Member
Joined
Nov 3, 2013
Messages
10,540
Likes
9,099
Points
280
Moisemusajiografii

Moisemusajiografii

JF-Expert Member
Joined Nov 3, 2013
10,540 9,099 280
Nina kaa kwangu
Huu mwaka wa 3
Najua unajua maana ya kwangu, sio kwa landlord

Sent using Jamii Forums mobile app
Mawazo yako bado ya kitotokitoto mnoo. Kukaa "kwako" ambapo umejenga kwa hela ya mgao wa urithi na magumashi hakukupi mamlaka ya kuwapangia watu namna ya Kuwasilisha mawazo yao. Umeandika unayajua na una ushahidi wa wanayoyafanya. Orodhesha na uache porojo za mlevi wa k-vant ya kugongea.
 
pinno

pinno

JF-Expert Member
Joined
Jan 17, 2013
Messages
860
Likes
300
Points
80
pinno

pinno

JF-Expert Member
Joined Jan 17, 2013
860 300 80
Mawazo yako bado ya kitotokitoto mnoo. Kukaa "kwako" ambapo umejenga kwa hela ya mgao wa urithi na magumashi hakukupi mamlaka ya kuwapangia watu namna ya Kuwasilisha mawazo yao. Umeandika unayajua na una ushahidi wa wanayoyafanya. Orodhesha na uache porojo za mlevi wa k-vant ya kugongea.
Mkuu usitoke nje ya hoja

Unajua kwa hakika ni hoja gan iko mezani.

Ni kuhusu wapinzani wa nchi kuwa na mahesabu ya leo ma sasa tu

Sasa najua unajifanya huoni sababu unaishi kwa kutegemea mfumo wao.

Am a 100%free person siishi Ufipa wala lumumba

Nikiwa kama mtanzania

Nina haki ya kutoa mawazo yangu,hasa napoona mnazid kuwafanya wabongo mapopoma .

Swali mtawaambia nini 2020?

Swali gumu kuliko lote litakuwa
"Mlituletea mtu hivi hivi,akawaacha katikati ,had tukarudia uchaguzi,vipi mna uhakika gani kuwa huyu hatawageuka ?.

Badala ya kubishana na mimi hapa,ni bora mkae mtafute jibu la hilo swali

Sababu bila kujibu hilo swali vyema, hamtapata hata kura 1

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Moisemusajiografii

Moisemusajiografii

JF-Expert Member
Joined
Nov 3, 2013
Messages
10,540
Likes
9,099
Points
280
Moisemusajiografii

Moisemusajiografii

JF-Expert Member
Joined Nov 3, 2013
10,540 9,099 280
Mkuu usitoke nje ya hoja

Unajua kwa hakika ni hoja gan iko mezani.

Ni kuhusu wapinzani wa nchi kuwa na mahesabu ya leo ma sasa tu

Sasa najua unajifanya huoni sababu unaishi kwa kutegemea mfumo wao.

Am a 100%free person siishi Ufipa wala lumumba

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkibanwa mnajifanya hamna upande wala chama. Nipo kwenye lengo hilohilo ulilolianzisha. Kwa hali ya uchumi na siasa ilivyo kwa hii miaka mitatu(na tunaendelea) ulipendelea wakinzani waongee nini? Bado haujayajua maisha yalivyo. Muelekeo wako wote unaonesha kuwapondea wakinzani na kuwa upande wa vibaka bila hata kuremba mwandiko.
 
pinno

pinno

JF-Expert Member
Joined
Jan 17, 2013
Messages
860
Likes
300
Points
80
pinno

pinno

JF-Expert Member
Joined Jan 17, 2013
860 300 80
Mkibanwa mnajifanya hamna upande wala chama. Nipo kwenye lengo hilohilo ulilolianzisha. Kwa hali ya uchumi na siasa ilivyo kwa hii miaka mitatu(na tunaendelea) ulipendelea wakinzani waongee nini? Bado haujayajua maisha yalivyo. Muelekeo wako wote unaonesha kuwapondea wakinzani na kuwa upande wa vibaka kuremba mwandiko.
Nisaidie ilibid waongelee nini ? Na wapo wanaongelea nini ?

Navyoona mimi ,hawana lolote wafanyalo

Wanashinda twitter wakisubir litokee tukio wadandie kwa mbele

Kitu ambacho sidhan ni sahihi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Moisemusajiografii

Moisemusajiografii

JF-Expert Member
Joined
Nov 3, 2013
Messages
10,540
Likes
9,099
Points
280
Moisemusajiografii

Moisemusajiografii

JF-Expert Member
Joined Nov 3, 2013
10,540 9,099 280
Nikiwa kama mtanzania

Nina haki ya kutoa mawazo yangu,hasa napoona mnazid kuwafanya wabongo mapopoma .

Swali mtawaambia nini 2020?

Swali gumu kuliko lote litakuwa
"Mlituletea mtu hivi hivi,akawaacha katikati ,had tukarudia uchaguzi,vipi mna uhakika gani kuwa huyu hatawageuka ?.

Badala ya kubishana na mimi hapa,ni bora mkae mtafute jibu la hilo swali

Sababu bila kujibu hilo swali vyema, hamtapata hata kura 1

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa unataka maswali ya mwaka 2020 ujibiwe sasa hivi? Upewe majibu ya mitihani? Got a loose nut upstairs? Kijana ukiwa unabugia maharage bugia kwa kipimo cha afya na lishe usivimbiwe.
 
Moisemusajiografii

Moisemusajiografii

JF-Expert Member
Joined
Nov 3, 2013
Messages
10,540
Likes
9,099
Points
280
Moisemusajiografii

Moisemusajiografii

JF-Expert Member
Joined Nov 3, 2013
10,540 9,099 280
Nisaidie ilibid waongelee nini ? Na wapo wanaongelea nini ?

Navyoona mimi ,hawana lolote wafanyalo

Wanashinda twitter wakisubir litokee tukio wadandie kwa mbele

Kitu ambacho sidhan ni sahihi

Sent using Jamii Forums mobile app
Umedai weye ni mtu huru unataka uchangie hoja kwa uhuru wake. Sasa iweje hao wakinzani wakiingia kwenye mijadala inayoibuka siku hadi siku uwaite wanadandia hoja? Kwa hiyo weye kuna unayopenda wayaongee na mengine hautaki. Get your head examined for the benefit of your unlucky family, boy!
 
Daudi Mchambuzi

Daudi Mchambuzi

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2010
Messages
37,572
Likes
49,153
Points
280
Daudi Mchambuzi

Daudi Mchambuzi

JF-Expert Member
Joined Nov 25, 2010
37,572 49,153 280
Ifike mahali kama nchi tufanye maamuzi magumu

Hawa jamaa ambao kutwa kucha hawana cha kufanya,kazi ni kuangalia nini kimetokea wapi,nan kasema nini,kisha wana react na kuanza kulibeba hilo kama ajenda yao.

Jamaa ambao kwa miaka kumi walihubiri ufisadi,kisha ilipofika 2015 waka wakumbatia vinara wa matukio makubwa ya ufisadi (iwe kweli au si kweli) mke wa kaisari hapaswi kushutumiwa ,wakawafanya wao ndo iwe sura yao ,a complete 360 uturn

Tukadhan watakomea hapo ,tabia yao ya kuzingatia maslahi ya muda mfupi na kuacha ya muda mrefu,imeligharimu sana taifa siku za hiv karibuni,

Walisimamisha wagombea wa ubunge na udiwani bila ya kuwafanyia vetting ya kutosha ,wakizingatia tu kuwa huyu atatufanya tushinde uchaguz (maono hafifu sana) bila kuangalia vigezo vingine,kosa ambalo walilifanya pia kwa mgombea wao wa urais,kwa kupiga hesabu za kuwa watashinda uchaguzi akisimama,wakaacha sera ambayo iliwafanya wawe wao ,sera iliyowajenga,sera ya kupinga ufisadi sababu ni kuwa mgombea wao hakuwa mtu anae uzika sana kwenye hiyo sera.

Sasa hii tabia ya kupiga mahesabu mafupi ,2015 iliwagharimu wao,sababu wakakosa Ushindi,na wakapoteza wanachama wao wa muda mrefu.

Lakini waswasi wangu ni kuwa tabia hiyo imeanza kuvuka mipaka,na hasara zake zinakuwa tu sio za kwao bali za taifa nzima.

Imagine mabilion ya fedha ambayo tumepoteza kama taifa ,kwa kurudia chaguz za wabunge na madiwani kwa uzembe wa hawa jamaa.

Wanasimamisha wagombea dhaifu ambao wanakuja kuwaacha katikati ya safari, wanawasimamisha wagombea kwa mahesabu mafupi ya kushinda tu uchaguz.

Leo wanajali sana wao kuonekana smart kuliko utawala uliopo ,na wanafanya hivi kwa kujaribu ku wa popular ,lakini mbinu wanazotumia ni hatari na zinazigharimu taifa madhara ya muda mrefu sana.

Mfano kila kakitokea ka tatizo kadogo,jamaa wanakimbilia ulaya kulia lia, hili ni tusi dhidi ya uhuru wa nchi yetu?

Juzi mtu kaandika barua commonwealth,kushtaki suala la CAG, hiv alie kwambia kuwa hazina kubwa ya viongozi wote tulionao hapa nchini wameshindwa kutatua hiyo shida ni nani?

Whats commonwealth? Umoja ulio anzishwa na mtawala alietutawala ili aendelee kumonitor progress zetu? Anyway nafaham manufaa yake,na sipo against nao,

Ila this is a typical behavior of a house nigger.

Tuna ushahid kuwa jamaa mahesabu yao mabovu,yanayotanguliza tumbo mbele,faida za muda mfupi sana yanavyoligharimu taifa.

Wametugharimu billions of money za chaguz,kwa kutofanya vetting ya watu wao vizuri,

Wapo busy wana livua nguo taifa na kupinga kila kitu.

Sasa mimi nina ombi moja,kabla jamaa hawajatugharimu zaid,kabla ya 2020 kama taifa tufanya maamuzi magumu.

Tufute usajili wa vyama vyote, isipokuwa kilichopo madarakani kisha tuanze upya usajili.

Tuondokane na haya maigizo tunayowafanyia watanzania.

Sent using Jamii Forums mobile app
Enyi msiopenda ufisadi, ni kwanini mnahamaki CAG anavyoweka wazi ufisadi wenu mnavyomezea ubadhilifu wa pesa za uma kwa mujibu wa report yake ambayo mnayo mezani????

Anayetetewa na Ndugai na nyie CCM ndiyo huyo mnyonge mnayemuhubiri mara kwa mara??

Kwanini unadhani kuwa ni haki yako kuwapangia makundi ya watu kipi cha kujadili na kipi cha kuacha?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bila bila

Bila bila

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2016
Messages
6,153
Likes
8,792
Points
280
Age
40
Bila bila

Bila bila

JF-Expert Member
Joined Dec 20, 2016
6,153 8,792 280
Mkuu usitoke nje ya hoja

Unajua kwa hakika ni hoja gan iko mezani.

Ni kuhusu wapinzani wa nchi kuwa na mahesabu ya leo ma sasa tu

Sasa najua unajifanya huoni sababu unaishi kwa kutegemea mfumo wao.

Am a 100%free person siishi Ufipa wala lumumba

Sent using Jamii Forums mobile app
Ngonjera haiwezi kuwa hoja. Ngonjera ni porojo porojo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Forum statistics

Threads 1,250,713
Members 481,465
Posts 29,742,876