pinno
JF-Expert Member
- Jan 17, 2013
- 1,213
- 1,228
Ifike mahali kama nchi tufanye maamuzi magumu
Hawa jamaa ambao kutwa kucha hawana cha kufanya,kazi ni kuangalia nini kimetokea wapi,nan kasema nini,kisha wana react na kuanza kulibeba hilo kama ajenda yao.
Jamaa ambao kwa miaka kumi walihubiri ufisadi,kisha ilipofika 2015 waka wakumbatia vinara wa matukio makubwa ya ufisadi (iwe kweli au si kweli) mke wa kaisari hapaswi kushutumiwa ,wakawafanya wao ndo iwe sura yao ,a complete 360 uturn
Tukadhan watakomea hapo ,tabia yao ya kuzingatia maslahi ya muda mfupi na kuacha ya muda mrefu,imeligharimu sana taifa siku za hiv karibuni,
Walisimamisha wagombea wa ubunge na udiwani bila ya kuwafanyia vetting ya kutosha ,wakizingatia tu kuwa huyu atatufanya tushinde uchaguz (maono hafifu sana) bila kuangalia vigezo vingine,kosa ambalo walilifanya pia kwa mgombea wao wa urais,kwa kupiga hesabu za kuwa watashinda uchaguzi akisimama,wakaacha sera ambayo iliwafanya wawe wao ,sera iliyowajenga,sera ya kupinga ufisadi sababu ni kuwa mgombea wao hakuwa mtu anae uzika sana kwenye hiyo sera.
Sasa hii tabia ya kupiga mahesabu mafupi ,2015 iliwagharimu wao,sababu wakakosa Ushindi,na wakapoteza wanachama wao wa muda mrefu.
Lakini waswasi wangu ni kuwa tabia hiyo imeanza kuvuka mipaka,na hasara zake zinakuwa tu sio za kwao bali za taifa nzima.
Imagine mabilion ya fedha ambayo tumepoteza kama taifa ,kwa kurudia chaguz za wabunge na madiwani kwa uzembe wa hawa jamaa.
Wanasimamisha wagombea dhaifu ambao wanakuja kuwaacha katikati ya safari, wanawasimamisha wagombea kwa mahesabu mafupi ya kushinda tu uchaguz.
Leo wanajali sana wao kuonekana smart kuliko utawala uliopo ,na wanafanya hivi kwa kujaribu ku wa popular ,lakini mbinu wanazotumia ni hatari na zinazigharimu taifa madhara ya muda mrefu sana.
Mfano kila kakitokea ka tatizo kadogo,jamaa wanakimbilia ulaya kulia lia, hili ni tusi dhidi ya uhuru wa nchi yetu?
Juzi mtu kaandika barua commonwealth,kushtaki suala la CAG, hiv alie kwambia kuwa hazina kubwa ya viongozi wote tulionao hapa nchini wameshindwa kutatua hiyo shida ni nani?
Whats commonwealth? Umoja ulio anzishwa na mtawala alietutawala ili aendelee kumonitor progress zetu? Anyway nafaham manufaa yake,na sipo against nao,
Ila this is a typical behavior of a house nigger.
Tuna ushahid kuwa jamaa mahesabu yao mabovu,yanayotanguliza tumbo mbele,faida za muda mfupi sana yanavyoligharimu taifa.
Wametugharimu billions of money za chaguz,kwa kutofanya vetting ya watu wao vizuri,
Wapo busy wana livua nguo taifa na kupinga kila kitu.
Sasa mimi nina ombi moja,kabla jamaa hawajatugharimu zaid,kabla ya 2020 kama taifa tufanya maamuzi magumu.
Tufute usajili wa vyama vyote, isipokuwa kilichopo madarakani kisha tuanze upya usajili.
Tuondokane na haya maigizo tunayowafanyia watanzania.
Sent using Jamii Forums mobile app