alkaida mtoto
Member
- Oct 6, 2018
- 23
- 11
Karibu pm 5000 mbili. AsanteYani nitoe laki 394 kisa betting [emoji848] [emoji848]
Mkuu angalia mikeka apo juu pia asante kwa ushauriBroo nenda kwa wazee wakuweka mikaka uwapostie na wao
Pia embu nisanua wew odds hizo unachukua kwa shi ngapi?
Mkuu angalia mikeka apo juu pia asante kwa ushauri
Hakuna cha sure bet ka ni ivyo mwambie mzee wako auze nyumba pesa yake ubetie upate mara mbili au tatu ya iyo alaf umrudishie mzee wako ela yake si ni sure odds...kubet ni bahati juzi Chelsea kapigwa na Wolves mikeka imechanika.Ni
Ni kweli kabisa mkuu huwa zinatoa sure odds
sasa mkuu kama una odds za uhakika si uweke tu mzigo upige hela unahangaika kuuza ya nin?Ni
Ni kweli kabisa mkuu huwa zinatoa sure odds
hahahahahaah app inauzwa laki tatu afu stake anaweka 500? pumbav kabisaHakuna cha sure bet ka ni ivyo mwambie mzee wako auze nyumba pesa yake ubetie upate mara mbili au tatu ya iyo alaf umrudishie mzee wako ela yake si ni sure odds...kubet ni bahati juzi Chelsea kapigwa na Wolves mikeka imechanika.
Asante kwa changamoto karibu pmHakuna cha sure bet ka ni ivyo mwambie mzee wako auze nyumba pesa yake ubetie upate mara mbili au tatu ya iyo alaf umrudishie mzee wako ela yake si ni sure odds...kubet ni bahati juzi Chelsea kapigwa na Wolves mikeka imechanika.
Karibu mkuungoja nikuwahi pm fasta mana nakumbuka kuna jamaa alikuwa nazo akaniambia nimpe 35 kwa app moja
Huo ni mkeka wa mteja wangu sio wangu.hahahahahaah app inauzwa laki tatu afu stake anaweka 500? pumbav kabisa
Asante kwa changamoto. Karibu pmUkiona unaitwa kwenye Fursa kuwa makini sanaa inawezekana kabisa Wewe ndo fursa
Asante kwa changamoto Karibu pmWizi mtupu
Elfu tano kwa app mbili!!ngoja nikuwahi pm fasta mana nakumbuka kuna jamaa alikuwa nazo akaniambia nimpe 35 kwa app moja
Ndio karibu pmElfu tano kwa app mbili!!