Wazee wa kuombewa

Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
280,724
729,892
1454236034760.jpg
 
Teh teh..Umenikumbusha kuna video moja Dada anapewa mambo na Pastor..Anaitikia enter power,enter enter power,enter power..

Kweli safari ya mbinguni ina challenges kibao aisee
 
Tunakuzwa tukiambiwa mtu mwenye mvi ni mwenye hekima na wa kuheshimiwa sana.

Lakini unakua na kuona mvi ni physiological process tu. Otherwise mwenye mvi Hana jipya sana na ambao hatuna.

Kuna Mababu hamnazo kabisa
 
Kuna mtu hapa JF kasema mkewe toka aokoke hamtaki
yeye na kanisa tu
ndo kama hivyo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom