Mzee 1: Aisee ISUNZU Iile inakimbia sana,
Mzee wa 2: Wewe sio ISUNZU, ni ISUSU,
Mzee wa 3: ha ha haaaa, nyie kweli vilaza, sio ISUNZU wala ISUSU, ni IZUZU
(Wakimaanisha gari aina ya INZUZU.., or sorry ISUZU))
..kali zaidi enzi zile tunajifunza kimombo
"I looked for you weee but where" - nilikutafute wee lakini wapi!
"He ate the corner" - alikula kona
"You have to be very eyes.." - mnatakiwa muwe macho
Kiranja - "You, jump kifrog frog! - ruka kichura chura
Kwa wale kama wapo waliosoma ktk kijijini kwetu wanakumbuka tulikuwa tumeanzisha lugha ambayo ilikuwa kama si member siyo rahisi kuielewa nayo ni "chamchanisechama chakuchawa, chawechawe chauchanachatachaka chakuchasuchambuchaa chawachatu.
nikusema wewe unataka kusumbua watu, na tulikuwa tunonge haraka sn.
utoto ni raha fulani.