Wazee wa kubugia chanjo za mabeberu; Mmejiandaaje na Monkeypox?

Wazee wa kubugia chanjo za mabeberu; Mmejiandaaje na Monkeypox?

Dokta Uchwara

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2022
Posts
1,370
Reaction score
3,164
Wale mabendera wa kubugia bugia machanjo, haya zigo jipya limetoka kabatini linaitwa monkeypox.

Ni brand new. Kitu mpya na maganda yake.

Mmejiandaaje kubugia machanjo?

Hivi huwa mnameza au mnadungwa?

Baada ya corona kubuma, mmeletewa furushi jipya. Mjisevie.

Ni mwendo wa kudungwa michanjo mpaka akili zikae sawa.

Tunafuata SAYANSI.
View attachment 2233541
 
Lipumbavu la mwendazake, mwendazake hakubugia chanjo za mabeberu? Hakupata chanjo ya surua, polio? Pepunda? Ndui? Unafikiri Hizi chanjo zinatengenezwa chato? Ni kitu gani mwendazake alichokuwa akitumia amacho hakikutoka kwa mabeberu? Alipougua alikuwa akipewa mitishamba ya Chato?
Au yale mabunduki na migari iliyokuwa ikimlinda ilitengenezwa Chato?

Alikuwa akiropoka upumbavu na nyie mazezeta mnamuamini, haya amekufa kwa Covid, mfuateni huko Chato mkazikwe naye
 
Inasikitisha sana kuona mtu anazungumzia ugonjwa kwa ushabiki kama vile wa Simba na Yanga.

Yani unaona kabisa huyu mtu hana hata elimu ya msingi kabisa kuhusu Monkeypox na anahitaji kujielimisha.
Tunasubiri maoni yako juu ya monkey poxy. Haya uliyotoa ni maoni yako juu ya mleta mada unavyomdhania.

Karibu.
 
The virus has been around since the 70's, why should we be worried now?
 
Kwa mujibu wa darksiders ndio walioleta corona duniani kutokea china taifa la waabudu shetani, wakaipromote corona ili kuitisha dunia kupitia media zao za propaganda BBC, CNN, nk baada ya malengo yao kutimia leo awaipromote tena kufika 2023 watasema corona imeisha wameidhibiti. Nyuma ya ajenda kuu ya chanjo ya corona vaccine ilikuwa ni kutest mitambo ya 666 codes, Saa hizi wapo wanafanya tathimini ya muitikio wa chanjo. Ajenda kuu ilikuwa ni kutest mitambo.
 
Lipumbavu la mwendazake, mwendazake hakubugia chanjo za mabeberu? Hakupata chanjo ya surua, polio? Pepunda? Ndui? Unafikiri Hizi chanjo zinatengenezwa chato? Ni kitu gani mwendazake alichokuwa akitumia amacho hakikutoka kwa mabeberu? Alipougua alikuwa akipewa mitishamba ya Chato?
Au yale mabunduki na migari iliyokuwa ikimlinda ilitengenezwa Chato?

Alikuwa akiropoka upumbavu na nyie mazezeta mnamuamini, haya amekufa kwa Covid, mfuateni huko Chato mkazikwe naye
Unapambana na marehemu.
 
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂hasira za kuchanjwa hizi

Mabeberu washakuua taratibu wewe ,DNA zako hazipo sawa sasa hivi
 
Nimesoma taarifa fulani kuwa, chanjo ya tetekuwanga inafanya kazi katika ugonjwa wa monkeyspox kwa 85%, hivyo tutachanja tu mana mpaka sasa watoto wetu wanachanja ya tetekuwanga na surua

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app

Mimi nilishawahi Kuugua Tetekuwanga,
Na wanasema Kama Umeshawahi ugua Hupati tena,Unakuwa unetengeneza Kinga Mwilini.
Je wewe ulishawahi kuugua Tete kuwanga?
 
Hivi zile chanjo za corona ziliishia wapi? Billgate anahangaika na hii dunia sana

Watu walikimbilia kuchanjwa,cjui wana hali gani huko walipo

Nasikia wengine wamekufa,wengine wamepata cancer ukitoa ushahid yalikukuta wanakuzima mitandao si yakwao kuna dogo alikua anapost alivyopata madhara kila kitu aliweka tweeter hadi doctor wakati anamuhudumia wakamfungia,usijarib tiktok wanakublock usipost siku4, huko uingereza baadhi ya wanawake mizunguko ya hedhi imeharibika mpaka wakawa na hofu kama wataweza kupata mimba tena mpaka baadhi ya madoc wakastopisha hiyo michanjo yao!anyway siwaamini WHO hata kidogo why chanjo za Kutoka nchi nyingine wazikatae mpaka zao?Kuna dawa ilikua inasaidia wagonjwa wa Covid Japan (Ivermectin) wakaitangaza dawa ya mifugo isitumike wakati wagonjwa wanapona walitaka watu wapate hiyo misumu yao tu!
 
WHO sio wa kuwaamini ndio maana kuna kipindi Trump aliwaambia nyie WHO hamna umuhimu wowote,wanafanya kazi kwa kufanikisha mipango ya watu waovu wenye pesa duniani.
 
Hiyo teknolojia ya mRNA inafanya kuweza kuingiza vinasaba kwenye DNA, na pia kuna teknoljia ya gene editing inaitwa CRISPR ambayo inaweza kupandikiza na kuondoa vinasaba kwenye DNA na hivyo kuweza kuzalisha watoto ambao ni genetically modified, mfano unaweza kutengeneza watoto walio na mboni za macho za blue badala ya nyeusi........lakini hii teknoljia inaweza kutumika kusaidia kutibu magonjwa ya kurithi kama hemophilia, kisukari na kansa za kurithi.

Kuna wanasayansi nchini Sweden wamegundua hizo chanjo za covid zinaweza kuingia ndani ya vinasaba, kwa wale wenye uelewa wanaweza kufuatilia hiyo title hapo chini.

"Intracellular Reverse Transcription of Pfizer BioNTech COVID-19 mRNA Vaccine BNT162b2 In Vitro in Human Liver Cell Line"
 
Back
Top Bottom