Wazee wa kimyakimya

kuna ukweli asilimia 80% ukiona mtu si mlokole, hanywi pombe, havuti sigara, haendi club, ni mtu tu wa kawaida na ni mkimyaaa, ogopa sana.
 
Mdogomdogo arif. Ngoja nimalizane nako ishu flani hivi....
poa poa babuu, next month, siku ya workers, nadhani nitakuja tabata kukupa salam afu unikabidhi hako kamzigo!
 
Nimekupenda bureee. Kumbe wa hivi bado mpoo?
 
aisee excel nakujua. unavyojidiskraib na misamiati yako ni kama nakuona kabisa.
 
jamani samehe, hasira itakuletea maradhi. Siku nyingine usimuulize mtu kwa mdomo tu kuwa yuko single. Angalia matendo yake na wewe tunga test umpe uangalie atakavyofaulu.
 
aisee excel nakujua. unavyojidiskraib na misamiati yako ni kama nakuona kabisa.
unanijuaje mkuu? tungo tata hio ujue! ohooo....

ok, mi ngoja ni
limbo dance...
 
jamani samehe, hasira itakuletea maradhi. Siku nyingine usimuulize mtu kwa mdomo tu kuwa yuko single. Angalia matendo yake na wewe tunga test umpe uangalie atakavyofaulu.

Dah, nimejifunza kitu kwa mtu huyu. siwezi rudia kosa yani. Mwenyezi mungu nisaidie.
 
mie na marafik zangu kibao wako hvyo..mijitu iko kimyaa inaangalia huku na kule kumbe inadaka news outfits..yaan hawa jamaa wanapiga papuchii balaa coz hawaangalii quality ya she wao wanazomba tuu..
wenzangu na mim tunajifanya tbs so kugegeda unakua shughuli lkn wao hataa hawana hilo suala wao yeyote wanabeba..kwa week wanaweza tia hata wanawke 30 tofaut tofauti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…