Huo ni uonevu na usingiziaji brother, mimi sivuti pombe, sinywi sigara, siendagi club n.k. Starehe yangu kubwa ni mziki wa home na simu, mitandao ya kijamii, kupiga story na watu, matembezi, vitabu n.k. Sasa unaposema tusiokunywa pombe wala kuvuta sigara au kwenda club ni wazee wa kugegeda mmhhh.... Karudie research yako, hao ni 10% tu usigeneralize!
Ngoja nikamtimue aanze kwenda bar
Utawafahamu tu ni wakimya hawanywi pombe hawavuti sigara hawaendi club kinywaji chao kikuu soda
Ukiwaangalia machoni kama watu lakini maamaaa wee hawa watu ni moto chini kilevi chao kikuu papuchi yani ni mabazazi wamepiliza
Wana uwezo kwa kugegeda mara tatu kwa siku wanawake watatu tofauti
Hawapendi show off girls wao zao ni mahousegirl mamantilie wanafunzi nk nk ,watu wasio na complications wao ndio zao
kama umoja wai pita kimya kimya usitoe povu tafadhali
Lisemwalo lipo!!
Kuna ukweli flani hapa..pia kama sio mpenzi wa mpira basi kugegeda kwake ni priority..
kweli kabisaaaa, na ndo wanatumia gia hiyo kuwafata wanawake.. ukiliona linajifanya halijui kuongea wala kutongoza kumbe limewapanga foleni leo huyu kesho yule.. kaaa! alichonifanya m.bu.zi mmoja wa dizain hii sitakaa nisahau milele. jitu linajifanya lipoooole kumbe wapi. malipo ni hapa hapa duniani. umenipotezea direction yangu poa, we endelea kula ujana!