Robidinyo
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 4,075
- 8,799
Mwanaume mmoja raia wa Zambia Arnod Masuka ameiomba mahakama nchini humo kumpa talaka ili atengane na mke wake kwa kile alichoeleza kuwa urembo wa mke wake unamfanya aishi kwa wasiwasi.
Ameiambia mahakama kuwa urembo wa mke wake Hilda Mleya unamfanya asipate usingizi kwa hofu ya kumpoteza kwa mwanamme mwingine
NB:Kwanini ndoa ikutese,kwanini uishi kwa Wasiwasi na hofu, Jamaa kaona kuna dalili za kupigwa na kitu kizito kaamua kumaliza pambano..