Going Concern
JF-Expert Member
- Jul 25, 2011
- 1,071
- 1,213
natumia iPhone 4s, kunamda ikaanza zingua network, nikaachana na nayo nikawa natumia kawaida tu, tatizo jingine likaanza tena, inagoma kuwaka unless uconnect kwenye charger, sijuwi nianzie wapi, nisaidieni please...