MKWEPA KODI
JF-Expert Member
- Nov 28, 2015
- 28,707
- 71,003
Habari,
Kitendo cha wazee wastaafu wa CCM kupokea malalamiko ya makatibu wakuu wastaafu na kuyapeleka ngazi ya juu kabisa ya chama cha mapinduzi ni kosa lingine kubwa sana ambalo limefanywa na wazee wetu hawa, musiba sio mtu wa kujadiliwa na kikao cha juu kabisa cha chama, ilitakiwa wazee wetu wangeyatupilia mbali malalamiko hayo au wangeyapeleka polisi kwa ajili ya kufanyiwa kazi na polisi, najua kosa hili limefanyika kwa sababu kuu moja ya msingi (sitaitaja) lakini bado walipaswa kujua mila na tamaduni za CCM na kuzifuata kikamilifu, siwezi kushangaa kama barua hiyo itapuuzwa na ngazi za juu, naomba nimtahadharishe musiba kuwa kitendo chake cha kutaka kuvuruga chama hakitapita hivihivi, bado muda ukifika atakilipia.
Asanteni