Wazee wa CCM kupeleka malalamiko ya Kinana na Makamba ngazi ya juu kabisa ya chama sio sahihi

MKWEPA KODI

JF-Expert Member
Nov 28, 2015
28,707
71,003
Habari,
Kitendo cha wazee wastaafu wa CCM kupokea malalamiko ya makatibu wakuu wastaafu na kuyapeleka ngazi ya juu kabisa ya chama cha mapinduzi ni kosa lingine kubwa sana ambalo limefanywa na wazee wetu hawa, musiba sio mtu wa kujadiliwa na kikao cha juu kabisa cha chama, ilitakiwa wazee wetu wangeyatupilia mbali malalamiko hayo au wangeyapeleka polisi kwa ajili ya kufanyiwa kazi na polisi, najua kosa hili limefanyika kwa sababu kuu moja ya msingi (sitaitaja) lakini bado walipaswa kujua mila na tamaduni za CCM na kuzifuata kikamilifu, siwezi kushangaa kama barua hiyo itapuuzwa na ngazi za juu, naomba nimtahadharishe musiba kuwa kitendo chake cha kutaka kuvuruga chama hakitapita hivihivi, bado muda ukifika atakilipia.
Asanteni
 
Habari,
Kitendo cha wazee wastaafu wa CCM kupokea malalamiko ya makatibu wakuu wastaafu na kuyapeleka ngazi ya juu kabisa ya chama cha mapinduzi ni kosa lingine kubwa sana ambalo limefanywa na wazee wetu hawa, musiba sio mtu wa kujadiliwa na kikao cha juu kabisa cha chama, ilitakiwa wazee wetu wangeyatupilia mbali malalamiko hayo au wangeyapeleka polisi kwa ajili ya kufanyiwa kazi na polisi, najua kosa hili limefanyika kwa sababu kuu moja ya msingi (sitaitaja) lakini bado walipaswa kujua mila na tamaduni za CCM na kuzifuata kikamilifu, siwezi kushangaa kama barua hiyo itapuuzwa na ngazi za juu, naomba nimtahadharishe musiba kuwa kitendo chake cha kutaka kuvuruga chama hakitapita hivihivi, bado muda ukifika akilipia.
Asanteni
bosi wa mtuhumiwa anaitwa "transformer".
mwenyekiti wa vikao vya ngazi za juu anaitwaje? "transformer".
hakuna kitu kitakachoendelea hapo!

sijui walimuona mwenzao Membe ni mjinga kuchukua legal route?
 
walitaja sababu kuwa , aidha anatumika na mamlaka kubwa zaidi . unafikiri angeenda wapi ?
Kama anatumika na mamlaka kubwa zaidi hayo yangefahamika kwenye mahojiano polisi na sio kwenye vikao vya juu vya chama
 
Ukiwapuuza hao wazee leo itakuwaje kesho utakapo wahitaji?
Kwanza ukiwapuuza unawatengenezea solidarity ya kuona kwamba wawe pamoja ili kesho mmoja wao asionewe.

Hawa wazee naona kama wanajitambua na kila kitu wanakiweka peupe ili hujuma ionekane mchana.
Hii game nzuri!

Tayari wamefaulu kuinua mjadala ndani ya chama ambao mtu yeyote asingeweza na tayari mjadala huo umeanza kutengeneza makundi ya ufuasi!
 
bosi wa mtuhumiwa anaitwa "transformer".
mwenyekiti wa vikao vya ngazi za juu anaitwaje? "transformer".
hakuna kitu kitakachoendelea hapo!

sijui walimuona mwenzao Membe ni mjinga kuchukua legal route?
Membe ni mwangalifu sana ndiyo maana hakumpeleka hata kwa balozi, alijua njia sahihi
 
Kwahiyo wangepeleka malalamiko kwa mtuhumiwa mkuu Yona ndio watakuwa wamepatia ,ccm chama cha ajabu sana ,na wana chama wake na viongozi wake ni wa ajabusana ndio maana wamemsukumiza MTU wa ajabu haijapata kutokea in Tundu Lssu's voice .
 
Ukiwapuuza hao wazee leo itakuwaje kesho utakapo wahitaji?
Kwanza ukiwapuuza unawatengenezea solidarity ya kuona kwamba wawe pamoja ili kesho mmoja wao asionewe.

Hawa wazee naona kama wanajitambua na kila kitu wanakiweka peupe ili hujuma ionekane mchana.
Hii game nzuri!

Tayari wamefaulu kuinua mjadala ndani ya chama ambao mtu yeyote asingeweza na tayari mjadala huo umeanza kutengeneza makundi ya ufuasi!
Mkuu sisi tumesoma enzi za chama kimoja, wakati huo kulikuwa na somo la siasa, ilikuwa ni CCM tupu, hunidanganyi kitu kuhusu CCM, nakuhahakishia musiba atakiona cha mtema kuni, kama unabisha tupinge, hahahahaha
 
Uzi wa Mwanakijiji umeusoma ? Kwamba hakuna polisi yeyote wa cheo chochote Tanzania hii mwenye uwezo wa kumuhoji Musiba ?

Kwa sababu ni "special assignment "??
Kwa maana nyingine ni "Katiba ya jamuhuri ya Muungano inamlinda asishitakiwe popote pale ndani ya Tanzania "

Sasa hao wazee ulitaka waende Polisi kwa lipi ?

Wazee wamepima kina cha maji tu ,achana na hiyo takataka inaitwa Musiba watu wana deal na aliye nyuma yake ambaye hapo juu nimemuelezea
 
Kifupi mleta mada usimpangie mtu haki yake ailitafutaje na aitafute wapi mwachie mwenyewe mtafuta Hali awe Yuko sahihi au hayuko sahihi mwache
 
Kifupi mleta mada usimpangie mtu haki yake ailitafutaje mwachie mwenyewe Yuko sahihi hayuko sahihi mwache
Mkuu huu ni mjadala, mimi naheshimu sana maoni yako, ila utanikumbuka, musiba atakiona cha mtema kuni, subiri utaniambia
 
Habari,
Kitendo cha wazee wastaafu wa CCM kupokea malalamiko ya makatibu wakuu wastaafu na kuyapeleka ngazi ya juu kabisa ya chama cha mapinduzi ni kosa lingine kubwa sana ambalo limefanywa na wazee wetu hawa, musiba sio mtu wa kujadiliwa na kikao cha juu kabisa cha chama, ilitakiwa wazee wetu wangeyatupilia mbali malalamiko hayo au wangeyapeleka polisi kwa ajili ya kufanyiwa kazi na polisi, najua kosa hili limefanyika kwa sababu kuu moja ya msingi (sitaitaja) lakini bado walipaswa kujua mila na tamaduni za CCM na kuzifuata kikamilifu, siwezi kushangaa kama barua hiyo itapuuzwa na ngazi za juu, naomba nimtahadharishe musiba kuwa kitendo chake cha kutaka kuvuruga chama hakitapita hivihivi, bado muda ukifika atakilipia.
Asanteni
Kwenye literature tunaita plot(conflicts) imefika kwenye crisis inaelekea kwenye climax hapo ndo patamuuuuu sana tunapangoja kwa hamu baada ya hapo kuelekea kwenye resolution ( deunoment) ndo CCM INAKUFA NA KUBAKIA KAMA KANU
Hence Uhuru Wa pili utakuwa umepatikana baada ya ule wa Bendera Wa jk nyerere 1961
 
Ili CCM ife lazima nchi itoe sadaka za ukombozi au maombi maalum ya kuitoa nchi kwenye mazindiko ya CCM.
 
Mtuhumiwa anaenda kuwa hakimu wa kesi yake mwenyewe.

HAWA WAZEE WANA BUSARA ZA AJABU SANA
Mkuu ndiyo maana nimesema hapo wazee wetu wameteleza kidogo, musiba alikuwa mtu wa kukemewa tu au kupelekwa polisi sio kwenye vikao vya juu vya CCM
 
Back
Top Bottom