Hayo maeneo ya Survey na Mlimani city sio salama siku hizi; ni kwa nini wadau?
Hii inji sio salama kbs
Hizi boxer hizi aagh..! mi nlishasemaga zipigwe marufuku mijini all together..,sio k'koo tu.., dar hii zisionekane kabisa...