miaka ya nyuma serikari ilizembea kwenye baadhi ya taasisi zake na hivyo kutoa mianya ya watu wachache kujitengenezea mapesa yasiyo na jasho baadhi yake ni bandari, bank tra, tanesco nk, lakini bandari ikaongoza kwa ulaji, jamaa wakawa na pesa chafu, watu wakachapiwa mpaka wake zao mitaani, watoto wa shule, wanachuo, masista duu wote wakawa wahanga wa wazee wa bandari, mambo yamerekebishwa mirija mingi imekatwa sasa tunaheshimiana mtaani
Na hao wa benki sasa wanalazimisha sana inafikia kula njama na majambazi ili kuwadhulumu wateja ikiwemo wateja wengine kupoteza maishaMashirika mengi ndio hivyo tena. Siri ni moja tu. Wajanja wameondoa kupokea hela cash katika mashirika hayo ikiwemo TRA. Kila kitu wateja wanalipia Bank. Mirija ya ujanja na risiti feki ikawa imefikia kikomo. Watu wameacha kazi. Gari hawawezi kuweka mafuta wala kutengeneza tena. Heshima mitaani imerudi. Bado kuna maeneo mengi huo mpango haujafika. Ndani ya miaka mitano hivi huenda wakajifunza kuishi maisha halisi
Na hao wa benki sasa wanalazimisha sana inafikia kula njama na majambazi ili kuwadhulumu wateja ikiwemo wateja wengine kupoteza maisha
Nadhani bado wana mianya ya kuiba tu. Sidhani kama wamezibwa kiasi ulichokisema, maana naona hata wale wadogo bado wanaporomosha majumba ya kifahari na magari sawiamiaka ya nyuma serikari ilizembea kwenye baadhi ya taasisi zake na hivyo kutoa mianya ya watu wachache kujitengenezea mapesa yasiyo na jasho baadhi yake ni bandari, bank tra, tanesco nk, lakini bandari ikaongoza kwa ulaji, jamaa wakawa na pesa chafu, watu wakachapiwa mpaka wake zao mitaani, watoto wa shule, wanachuo, masista duu wote wakawa wahanga wa wazee wa bandari, mambo yamerekebishwa mirija mingi imekatwa sasa tunaheshimiana mtaani
Nadhani bado wana mianya ya kuiba tu. Sidhani kama wamezibwa kiasi ulichokisema, maana naona hata wale wadogo bado wanaporomosha majumba ya kifahari na magari sawia
miaka ya nyuma serikari ilizembea kwenye baadhi ya taasisi zake na hivyo kutoa mianya ya watu wachache kujitengenezea mapesa yasiyo na jasho baadhi yake ni bandari, bank tra, tanesco nk, lakini bandari ikaongoza kwa ulaji, jamaa wakawa na pesa chafu, watu wakachapiwa mpaka wake zao mitaani, watoto wa shule, wanachuo, masista duu wote wakawa wahanga wa wazee wa bandari, mambo yamerekebishwa mirija mingi imekatwa sasa tunaheshimiana mtaani
Hope nawe ulikuwa ni mmoja wa WAHANGA!!!!miaka ya nyuma serikari ilizembea kwenye baadhi ya taasisi zake na hivyo kutoa mianya ya watu wachache kujitengenezea mapesa yasiyo na jasho baadhi yake ni bandari, bank tra, tanesco nk, lakini bandari ikaongoza kwa ulaji, jamaa wakawa na pesa chafu, wake za watu mitaani wakawa hawako salama, mpaka watoto wa shule, wanachuo, masista duu wote wakawa wahanga wa wazee wa bandari, mambo yamerekebishwa mirija mingi imekatwa sasa tunaheshimiana mtaani
Kaka tafadhali bwana, hauna kinena kweli au haukijui tu?Asprin nina uhakika kwa asilimia zote SINA kinena
Ni kama namfaham jamaa. Dah si ndio yule alikua anashushia wadau kibano cha haha bila sababu halaf kukulipa.Hii kweli kabisa Wakuu,kuna Jirani yangu hapa home Dogo fulani alikuwa huko na ukiongezea na Ushomile wake hapa kitaa tulikuwa hatupumui. Mshkaji alikuwa hana salam wala ujirani,jeuri ya kufa Mtu yeye ndio yeye,kwenye mipango yote ya mtaa wote mtakubaliana but yeye peke yake atapinga na kusema kuwa issue hii ni fedha tuu hata kama hilo jambo halihitaji fedha. Mirija ikazibwa life ikawa tight,ili ku-maintains status yake akaingia tamaa wakapiga dil la mafuta huko huko Bandar,dili likabuma wote walioshiriki wakapigwa chini.
Wajanja fulani wakamshauri aende Mahakamni kupinga kufukuzwa kazi,Dogo akaingia mkenge puu Mahakamani,kesi ikaanza mwishoni Dogo akashindwa kesi akaamriwa alipe Fidia za kesi yote,mwishowe akaanza kuuza kila kitu kuanzia magari yake sasa hivi kinachosubiriwa Nyumba tuu,Dogo kwa sasa hana Gari wala nini,heshima debe,sasa hivi akikuona hata ukiwa mita hamsini mbele yake lazima akupe salam ya heshima. Na kinachomsumbua hajapiga shule,ule umjomba mjomba ndio ulimweka Bandari.
Nadhani bado wana mianya ya kuiba tu. Sidhani kama wamezibwa kiasi ulichokisema, maana naona hata wale wadogo bado wanaporomosha majumba ya kifahari na magari sawia