Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,467
- 23,759
Sawa kama wanaona issue ni kutoachiwa seat kwenye mwendo kasi haya waendelee tu. Hamna shida. Tunaweza amua kuwa tuwe tunawaachia seats tu ila wasituambie wanataka sijui pesa ya nini. Hovyo sanaWamepeleka matatizo Yao sio yenu hamuwaoishi siti za kwenye mwendokasi
Yaani ukose ajira halafu udhani hilo ni tatizo la mzee wako? —Kwanza uko above 18 hupaswi kukaa nyumbani, kajitafutie.Isije ikawa mlikuwa mnafurahia tu kuja kupata futru jioni. Halafu baadaye muanze kutusumbua sisi. Mmepata nafasi ya kuongea na Rasi je mmemwambia haya...
1. Vijana wenu hatuna kazi
2. Hamjalipwa au mnasumbuliwa mafao
3. Mna matatizo kwenye kupata huduma za Afya
4. Vijana wenu wanaonewa na Vyombo vya usalama
5. Matatizo ya usafiri ndani ya Jiji?
Mmemwambia hayo? Maana msije mkarudi home kuanza kutusumbua wakati mlikuwa na nafasi ya kuongea hayo. Naona wengi shauku kubwa ilikuwa ni kusubiria Futari.
Tusije ananza.sumbuana hapo baadaye. Mi ndo nmeshawaambia hivyo.
Bahati mbaya iliyoje nawe unawakumbusha wazee wakati Rais akiwa ameshasepaIsije ikawa mlikuwa mnafurahia tu kuja kupata futru jioni. Halafu baadaye muanze kutusumbua sisi. Mmepata nafasi ya kuongea na Rasi je mmemwambia haya...