Wazee kwanini mnatembea na wasichana wadogo?

Wazee kwanini mnatembea na wasichana wadogo?

We unafikiri ye binti haoni kuwa yule mwanaume ni mzee? Kwamba mwanaume ndo wa kulaumiwa! Wengi wamekuwa wakisema wanaume wanaeadanganya watoto wadogo ila ukweli ile ni mutual consent ya wawili. Hivyo hapo mi sioni haja ya kulalamika endapo binti hajalazimishwa.
 
Back
Top Bottom