Nduka
JF-Expert Member
- Dec 3, 2008
- 8,552
- 2,360
Ni vizuri ukajuwa kuwa sina namba ya Tz. Natumia namba yangu ya Oman kwa kitu kinachoitwa Roaming. Hivyo inakuwa si rahisi kwa mtu wa Tz kuweza kunipigia kwani inakuwa kama unapiga simu za kimataifa japo mimi nikikupigia kutoka hapa ninakuwa napiga sawa na local.
Hiyo ni namba ya Kijana wangu ambaye kila pahala nipo naye ambaye kwa urahis:A S 465:i unaweza kunipata kwa local number.
Elimu yangu ni PhD. (Bcom- UDSM Tz), MBA (Carleton univ- Canada) na PhD (Sofia Univ -Japan).
Jina langu ni Dr Hamza Yousuf Al- Naamani. Je una la ziada?
Ndio ninalo la ziada, hivi line ya simu hapo bongo ni sh ngapi na inachukua muda gani mtu kupata?