Kama ni sawa walivyosema waliotangulia "black mamba", Kiswahili anaitwa koboko kama sikosei.
Wanasema ni nyoka hatari zaidi duniani kwa sababu ana tabia za kushambulia pasi na kuchokozwa, ana sumu kali sana, haachi meno yake akigonga, kwa hiyo ana uwezo wa kugonga watu au wanyama hata 100 wakiwa karibu nae.
Pia ana mbio kuliko nyoka yoyote.
Tujikinge sana na nyoka hao na wengine.
Wa hatari zaidi kuliko huyo koboko ni binaadam mwenzetu.