Bro simjui ISP natumia mtandao wa ofisi ninachojua ni kwamba tumeunganishwa na optic fibre!
Unamaanisha Kuna ISP hapa bongo anasupport 42.2Mbits/s?
High-Speed Downlink Packet Access ( HSDPA ) is an enhanced 3G (third- generation) mobile-telephony communications protocol in the High- Speed Packet Access (HSPA) family, also dubbed 3.5G, 3G+ or turbo 3G, which allows networks based on Universal Mobile Telecommunications System (UMTS) to have higher data-transfer speeds and capacity. As of 2013 HSDPA deployments can support down-link speeds of up to 42.2 Mbit / s. HSPA+ offers further speed increases, providing speeds of up to 337.5 Mbit/s with Release 11 of the 3GPP standards. Labda tu kama wanatubania bandwidth.
I am not shutting up, you are promoting piracy.
Torrent inatumiwa mpaka kwenye research centers zinazojulikana kimataifa, inatumika katika open source community, ndiko ilipoanzia.Sina tatizo na torrents, nina tatizo na piracy. I bet you can't get the difference.
Unaniuliza torrent nimeijulia wapi halafu unaniambia hakuna aliyenikaribisha kukupa lecture.
Isitoshe, banner la JF linalosema we dare to talk openly ni karibisho tosha, unajua kusoma wewe?
Unaotea tu kwamba mimi ni mbeba box, nikikwambia trust fund baby utasemaje?
I doubt you even know what that is.
Who needs to shut up now?
Au hii kitu itasaidia maana sisi huwa tunawalalamikia ISP wetu kumbe wanasupport vitu vikubwa
Lkn wanachofanya wanatuuzia Modem kulingana na uwezo wetu wanatupa Modem za 7.2Mbps
![]()
Hii kitu hapa juu ina support mpaka 28.8Mbps
Nipeni tenda wazee nianza ku supply kwa laki 1 wazee
Pretender, Mnafiki unazingua tu hapa! Kwenda huko na u much know wako ......!
Bro simjui ISP natumia mtandao wa ofisi ninachojua ni kwamba tumeunganishwa na optic fibre!
Unatumia mtandao shared wa ofisi kudownload movies.
Wenzako wakilalamika kwa ISP kwamba wanalipa hela nyingi lakini mtandao hauna speed inayotakiwa (kwa sababu wewe unau slow down) ISP akisema yeye anawapa speed nzuri tu, na kuchunguza kwa nini mtandao unakuwa slow, atawaambia mpaka computer inayo slow down speed (yako) na kuwapa logs zinazoonesha wewe ndiye unaye slow down network kwa ku download movies kwa kutumia mtandao wa ofisi.
Really smart.
Ukitimuliwa hapo utasema umeonewa? Kuna mtu ishamtokea hivyo hivyo, alikuwa anafanya kazi kwenye kampuni ya kimataifa, inalipa hela nyingi sana kwenye internet connection lakini watu wakawa wanashangaa speed ndogo. Wakawakaba ISP, ISP wakashangaa, kwa kazi zenu speed mbona nzuri tu? Kuangalia logs wakakuta kuna IP moja tu ndo inachukua bandwidth kubwa, kuangalia inafanya nini wakakuta jamaa ana download muziki tu. ISP kwa kutotaka lawama wakamuonesha mkurugenzi, tatizo lenu hili hapa, jamaa akapigwa chini. Mara aah, wazungu wananionea muafrika. Wazungu wanakuonea muafrika umepewa nafasi kufanya vitu umenyea kambi mwenyewe?
Ndicho unachofanya wewe sasa. Mambo ya internet hayana siri haya.Unaweza kujiona umekaa mwenyewe ofisini kumbe ISP ana log zako zote.
Mtu hata kuheshimu sehemu unayofanyia kazi unashindwa, halafu unataka kujidai hapa?
Wewe sio tu unafanya piracy, bali unafanya piracy ofisini, kwa resources za ofisi.
Emu nifungue macho kidogo hapo kumbe mtu kama anatumia VPN (kama bwana digital anavyotumia PD Proxy) kumbe kila anachokifanya kinaweza onekana?
Mm nilifikiri ukitumia VPN unakuwa anonymous online hakuna mtu anaweza akutrack unachokifanya