Wazee haka ka speed ni noma!

Wazee haka ka speed ni noma!

Digitali

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2013
Posts
424
Reaction score
91
attachment.php


Yaani kipofu kaona mwezi! Hapo nyuma kuna Hangover III, We are the millers, Killer Elite, Now you see me, This is the end na white house down Halafu zote ni HD 720
Ka weekend katakuwa poa sana!!!
Mambo yetu yalee........ ya Mzee Paje
 

Attachments

  • Capture.JPG
    Capture.JPG
    13.5 KB · Views: 1,865
attachment.php


Yaani kipofu kaona mwezi! Hapo nyuma kuna Hangover III, We are the millers, Killer Elite, Now you see me, This is the end na white house down Halafu zote ni HD 720
Ka weekend katakuwa poa sana!!!
Mambo yetu yalee........ ya Mzee Paje

Labda kama unatumia LTE vinginevyo ISP wa 3G hawez fika hapo
 
Duh, watu wana download movies kwenye torrents bado tu?
 
Kuna siri mpya ya urembo? Hebu tujuzane!

Sijui siri nyingine ila huko kwa wenzetu wanatizama online... streaming nzuri wala hamna haja kuanza kujaza hard discs na movies wakati anytime unatizama online.
 
Kuna siri mpya ya urembo? Hebu tujuzane!

Inategemea na uko wapi na umri wako, siri nyingine za kikubwa utaambiwa uchanje AMEX.

Depending on where you are, kuna online services kibao za kuondokana kwenye chupri zinazoweza kukugharimu zaidi.
 
attachment.php


Yaani kipofu kaona mwezi! Hapo nyuma kuna Hangover III, We are the millers, Killer Elite, Now you see me, This is the end na white house down Halafu zote ni HD 720
Ka weekend katakuwa poa sana!!!
Mambo yetu yalee........ ya Mzee Paje

hakuna SP wa 3g bongo anweza kukupa speed hiyo
 
ebu tuambie site nyingine mnayotumia kudownload apart na hiyo torrent...ili nasi tujue

Lete siri mpya ya urembo wakuu mambo haya ni kujuzana tu!!!!

Download manager wandugu, i've never been a fan of torrents kabisa. The only thing natumia torrent for ni kushusha Cracked softwares i can't find a download link for, and some pirated music albums, some books etc. Mainly stuff i cant find direct link for. Ila movies, nahw way. Why should i download a 720p quality movie on torrent with 3Gigs huku naweza kupata 1080p yenye 1Gig or less kwa Download manager? So ndo maana hua nashangaa wanaotumia torrent najiuliza like i'm i missing something here.
 
attachment.php


Yaani kipofu kaona mwezi! Hapo nyuma kuna Hangover III, We are the millers, Killer Elite, Now you see me, This is the end na white house down Halafu zote ni HD 720
Ka weekend katakuwa poa sana!!!
Mambo yetu yalee........ ya Mzee Paje

mmhhh hii hapa hapa tanzania daima
 
Acha mbwembwe mkuu, torrents mpango mzima kibongo bongosijui kwenu wababeba maboksi

Wabongo wengi mafafa utamaduni, halafu kesho mtakuja na longolongo kibao kulia wasanii wanaibiwa mambo ya copyright, kutukana sana wahindi na kulia viongozi mafisadi.

Kumbe ufisadi ni passtime. Hata kitoto kinachozaliwa leo kinakuwa inculcated na ufisadi.

Over.
 
Back
Top Bottom