Wazee demu Wang anapenda pesaa kna ATM..nataka nimkomeshe nipeni maujanja!!!

Mtumie kwa tigo pesa mkwanja wa nguvu alafu akipata SMS piga simu tigo kusitisha muamala
 
mtoe dinner 5 star halafu baada ya kula potea eneo la tukio huo msala asolve mwenyewe, usisahau kuleta mrejesho
 
Kama anatumia simu kali itie maji bila ya yeye kujua,na kama anaishi peke yake hakikisha unamuharibia vitu bila ya yeye kujua, kwa mfano kama ana friji,tv,redio pasi au chochote cha gharama au hata kama ana gari lichokonoe tu.
 
kumbe ndio zenu eeee
ndio maana popo wengi sikuhiz dar
shuleni hamtaki kusoma mnasema tunawasomea
mnapiga vizinga vya vocha mpaka mitandao inawashukuru
Usijibu kwa kukariri mzee vocha tumewaachia dada zako waombe ombe, hapa tofali, bati ama kuongeza kiwanja na mtaji wa biashara.

Tafuta hela wewe
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom