Wazazi wenzangu tupunguze ukali

Wazazi wenzangu tupunguze ukali

Kwa lugha nyingine Mumeo anachapa watoto kwa mkanda?


So sad
Mkalishe chini mumeo kuna makosa ya kuzungumza na mtoto angalau mara 3-4, au mkatazE kufanya kitu anachokipenda, au akae kwenye conner afanye labda hesabu au kitu fulani then ndo uchape kama umemwelewesha mara zote hakusikia

Na kuna namna ya kumchapa mtoto sio kuona sifa kumcharaza na mikanda

Kila umri una namna yake ya kumchapa
Tena kuchapa iwe jambo la mwisho kabisa

Ofcourse wazazi wengi wanachapa kwa nia ya kumrekebisha mtoto ila waevaluate je inamrekebisha??????

Baadae watoto wasipokuwa na ukatibu nae watasononeka kumbe walitengeneza uadui wenyewe walivunja bond wenyewe

Kinababa mbadilike, sio ukirudi watoto wanakimbilia vyumbani

 
Nakuunga mkono na mfano mzuri ni mimi!!! Kipindi ichooo nikiwa skul ilikua ikifika tu kipindi cha likizo hasa ndefu....nakua mdogo ka nini!!! Inafikia kipindi mpaka nadanganya nabaki skul nasoma(japo ni kweli tulikua tunasoma)....hamna siku ilikua nzuri kama siku ya kufungua shule!!!! Jamani wazazi angalieni sana hili swala!! Naongea kwa uchungu maana mpaka sasa siez kikaa nanyi kuwaambia mambo yangu....sasa maana ya mzazi au mlezi ni nin??? Inafikia kipindi mpaka mtu unashindwa kusema mambo mabaya yanayoendelea home kisa kuogopa kugeuziwa kibao!!! Japo tunawaheshimu na mmetusaidia lakini ukali punguzeni!!! Inaniuma sana....kwakweli nlikua SINA FURAHA na familia(home) hasa nkikumbuka timbwili la home ....😡😕....
Cc Lisa nawazazi wenzako....

Nna hasira sana na hawa mijazazi na miwalezi ambayo ni mikali na roho mbaya kama shetwani!!!!! Kidogo mniharibie maisha yangu....pu.mba.fu!!!!! YANI NKIKUMBUKA ENZI HIZO ACHENI JAMANI....
Wazazi wote hum j.f tafaadhali sana kama unaliroho libaya badilikeni!!!! Au mnataka watoto wawakimbie?? Au wajute kuzaliwa ndio mpate raha??? :screwy:😡😡😡


aiseeeh! pole sana ndugu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom