Bushrah JF-Expert Member Joined May 9, 2014 Posts 413 Reaction score 791 Jun 22, 2015 #1 Mtoto: Hivi baba akili zangu mie nimerithi kwa nani? Baba: Itakua umerithi kwa mama yako maana mie zangu bado ninazo!! Hahaahaaa!!!
Mtoto: Hivi baba akili zangu mie nimerithi kwa nani? Baba: Itakua umerithi kwa mama yako maana mie zangu bado ninazo!! Hahaahaaa!!!
Humilis JF-Expert Member Joined Mar 19, 2015 Posts 920 Reaction score 1,154 Jun 22, 2015 #2 Haahaa baba katisha...!!