Rufiji dam
JF-Expert Member
- Feb 20, 2020
- 3,804
- 8,797
Sijui ni kuepuka gharama za kulipia school bus ama ni kuwaepusha watoto na mzunguko mkubwa wa haya mabasi ya shule.
Sasa hivi kumeibuka tabia ya wazazi kuwatumia bodaboda kama njia rahisi ya kuwachukua watoto kutoka shule hizi shule za Kiingereza, huenda ni njia rahisi ya kuepuka gharama.
Lakini ni hatari sana unakuta bodaboda moja inabeba watoto wawili mpaka watatu na hawana kofia ngumu vichwani, serikali ijaribu kuingilia kati hili jambo maana sasa hivi imekuwa na fursa na usafiri wa kawaida sana.