Wazazi wawatafutie watoto wa kike wachumba wa kuwaoa

Maleven

JF-Expert Member
Sep 8, 2019
624
2,772
Wote tunajua ndoa ni jambo la kheri kimila na kidini, kutokana na malalamiko kuwa vijana wanashindwa kutambuana, sio mbaya kwa mfano baba ambaye huwa anahangaika maeneo mbalimbli, endapo atamuaona kijana ambae anaamin ana tabia nzuri, amawambie kuwa amuoe bint yake, na kama mzazi ana uwezo pia sio mbaya akawasapoti wakiwa bado hawajajipanga vizuri kiuchumi
 
For this, my Dad can say mind your own business 😂😂
 
Kwa nini baadhi ya jinsia Me mnadhani Wanawake ndio wahitaji wa ndoa sana kuliko nyinyi kama kwamba ndoa ni Uhai
 
Ndoa kwa mwanamke ni muhimu mno dada yangu, acha tu kufikirika namna unayo fikiri bali muombe Mungu ujaliwe kuwa kwenye ndoa.
Mwanaume anaweza kuishi bila ya ndoa kwa kipindi cha maisha yake yote pasipo shaka lakini hali hiyo ni tofauti kwa mwanamke, na hii sio jambo la hiari bali asili ndivyo inavyotaka au tuseme alietufanya sisi tuwepo ndie alie weka hilo pia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Katika Uislamu ndoa ni muhimu jinsia zote unaposema Mwanaume anaweza kuishi bila ndoa katika kipindi cha Maisha yake yote bila wasiwasi una nishangaza hakuna kitu kama hicho eti asili inavyotaka ni wapi Mungu alisema Mwanamke lazima aolewe ila Mwanaume ubachera Ferever.Mkuu mimi nimeolewa ila sito washangaa wasio olewa.
 
Ndoa kwa mwanamke ni muhimu mno dada yangu, acha tu kufikirika namna unayo fikiri bali muombe Mungu ujaliwe kuwa kwenye ndoa.
Mwanaume anaweza kuishi bila ya ndoa kwa kipindi cha maisha yake yote pasipo shaka lakini hali hiyo ni tofauti kwa mwanamke, na hii sio jambo la hiari bali asili ndivyo inavyotaka au tuseme alietufanya sisi tuwepo ndie alie weka hilo pia.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nakataaa, wanawake wanaweza kuishi bila ndoa, wanaume hawawezi( serial killers watajaa mitaani)
 
Back
Top Bottom